Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

maisha bongo ukiwa mbunifu kidogo unatoboa. Mtu kama Mc Pilipili pamoja na kwamba hana cha kutisha sana lakini kiujanja ujanja anatoboa hapa mjini, na anasukuma ndinga ya zaidi ya 2500cc. Huko marekani utaishia kazi za ajabu kama si jela na kuolewa.
 
We nenda kwani cha ajabu nn mbona washikaji wanafanya kazi za kulea wazee na wakija huku wanahela za kutosha
Hata mm nikipata nauli naenda kufanya kazi za bustn na kufagia
 
Ni kweli mkuu...watu wengi wanafuata mkumbo...America bila kazi inayoeleweka na papers ni Hell....kuna watanzania wengi sana wanaishi barabarani hawana papers...tatizo la nchi zilizoendelea ni kama unavyosema kila kitu kiko structured hamna loopholes...kwa hiyo no matter how much you earn inaishia kwenye kodi na bills...na kama hauna skills utakoma....msimu huu wa winta kazi ni kuzoa barafu...dola 10 kwa saa...ni kazi ngumu sana unakuwa hoi kabisa
Dolla 10 kwa saa mbona nyingi sana,huku bongo hao wazoa taka wanalipwa laki na nusu,Dolla 10 ukizidisha kwa 2200 unapata 22000 kwa saa,Bora maisha ya mbele yanaunafuu sana
 
Marekani sikushauri jitume hapa hapa Bongo utatoka
 
Tulia Tanzania na ridhika na unachokipata mkuu.Wamarekani wenyewe wamezagaa mtaani wanaomba,na wewe unataka kwenda kuwa Matonya?Uchumi wa Marekani umeharibika sana.
Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani
 
Usikate tamaa, Simamia kile unachoamini msee
 
Unamtafuta TRUMP maneno yeye anahanga ika kuwarudish ww unataka kwend
 
level ya elimu haimati sana tena kama umesomea Afrika.Ukimaliza tu High school inatosha kula bata la muhimu unaweza ukaongezea Training za muda mfupi na maisha yakasonga.

Elimu ya Afrika hawaitambui sana hadi usome tena kama upendi kusoma kuna training za muda mfupi na maisha yanasonga .

ukiwa nurse au kama umesomea IT ni deal zaidi.

lakin sijui bachelor of political science,Business etc labda usome tena bila hivyo utahesabika kama High school.

Uku pia ata kama ujasoma ukiwa na driving licence maisha yanaenda.
watanzania wanatabia ya kukatishana tamaa sana,mwacheni akajaribu maisha popote
 
unatumia tochi gani mkuu kama vipi weka tangazo gazetini MAISHA YANATAFUTWA
 
maisha bongo ukiwa mbunifu kidogo unatoboa. Mtu kama Mc Pilipili pamoja na kwamba hana cha kutisha sana lakini kiujanja ujanja anatoboa hapa mjini, na anasukuma ndinga ya zaidi ya 2500cc. Huko marekani utaishia kazi za ajabu kama si jela na kuolewa.
Upo sahihi joshua yaaan mtu unaemfikiria na mimi huwa na fikiria Mc pilipili hatishi sn lakin anapiga mkwanja ni kiwa mjanja tu na kuwa mbunifu mzee
 
Vijana wengi tunakosa ubunifu tu tunaishia kufikiria kwenda nje hata ukienda nje sio mbunifu mzee bado utasota tuu tuamke tujichanganye na watu na kusima vitabu au majarida tutapata akili mpya za kufanya mambo
 
Upo sahihi joshua yaaan mtu unaemfikiria na mimi huwa na fikiria Mc pilipili hatishi sn lakin anapiga mkwanja ni kiwa mjanja tu na kuwa mbunifu mzee
Kwani huko anapotaka kwenda mnahisi hatofanikiwa kimaisha?kwa sababu MC pililpili kafanikiwa bongo kila mtu amwige yeye
 
Hebu upitishie huo mchongo kwanza kwangu,maana huku nilipo Twa twa twa Kilosa maisha ni magumu,ila Marekani na Ulaya sitaki hadi miaka 10 ijayo
Twa twa twa.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom