Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

Msaada Nataka kwenda Marekani kutafuta maisha

Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani

Kama kweli upo serious njoo PM nikupe mchongo, nakuhakikishia ukikazana ndani ya mwaka basi utakuwa na visa yako mkononi. ..uvumilivu unatakiwa
 
U mean dola elfu 5 !?? Vipi issue ya kumleta gharama na hiyo ndoa ya magumashi? Wanawake wengine bandidu wanaweza kukugeuka mkishafika huko America!

Magumashi mzee, gharama ya kumleta bongo juu yako,or anaweza kakupatia invitation letter na bank statement kukusponsa. Atahitajika kutoa copy ya passport yake, au national Id yake.
 
Unaenda sehemu hata ukilia hamna anae kupa pole! Huku tumejaaliwa bana basi tu kuna mapimbi wachache kila tukitaka songa mbele wanaturudisha nyuma mfano escrow......

Kwa mara ya kwanza umepost kitu cha maana kuliko wewe mwenyewe.............(joke)..
 
Mkuu.....njoo Mongolia.......huku life baridaaaa kama unanawa......Marekani nini bana.............
Hebu nipe mchongo nizame hapo Mongolia bana, nimechoka na uvuvi wa dagaa hapa Nansio!.
 
atanielewa kama ana HITAJI KUBADILISHA MAISHA YAKE MAANA NAULI,KUPROCESS MPAKA UJE UPATE MAKARATASI NA MAMBO YA HAPA NA PALE NI MTAJI MKUBWA SANA

I have been there naelewa unachosema mi namuonea huruma tu hasa kama hajui mtu huko anakotaka kwenda
 
Binafsi nimejenga kimjengo kidogo lakini cha kisasa na hakijazidi 15million.sina gari lakini nina mountain bike yangu kama yawazungu na ninaipenda sana,niko jijini Mwanza na ninakula samaki naemtaka..kiukweli sioni kama walioko Marekani wananizidi chochote..Penda nchi yako na kuitangaza kua inafaa mahala popote
Msimkatishe tamaa mwacheni akajaribu bahati yake hukumbuki enzi hizo kuja Dar ilikua dili. Kuna waliokatishwa tamaa wakabaki kijijini na wengine walikuja kwa kudandia treni wakaanza maisha kwa kulalia box hatimae wametoka kimaisha. Kwa hiyo maisha popote hayana formula moja, mwingine anaiona fursa nje ya nchi na wa nje anaiona fursa bongo so life iko hivyo.
 
Watu wana style za kuaga! hongera kila la kheri bibi zenu hamjawahi kuwakogesha mnaenda kuvikogesha viajuza hamjuani kwa tewe wala ndewe!
 
Binafsi nimejenga kimjengo kidogo lakini cha kisasa na hakijazidi 15million.sina gari lakini nina mountain bike yangu kama yawazungu na ninaipenda sana,niko jijini Mwanza na ninakula samaki naemtaka..kiukweli sioni kama walioko Marekani wananizidi chochote..Penda nchi yako na kuitangaza kua inafaa mahala popote

Kutaka kubadilisha sehem ya kuishi haimaanishi mtu anaichukia NCH yake.....jamaa amesema kilicho moyoni mwake kwamba Bongo maji yamekuwa marefu kwake Nikweli kwenye hizo NCHI lazima ucmame kwa miguu yako ndio maisha yasonge lkn ujue kila mtu humu duniani amepangiwa na MUNGU namna na...mahari gani aishi Mbona tunawasifia jamaa wa WEST AFRICA kuwa wanaTHUBUTU? Mimi nadhani tucmkatishe tamaa...aambiwe ukweli khs changamoto za huko then aamue mwenyewe
 
Yaani ukirudi nyuma miaka kadhaa watu walitishwa sana walipotaka kuja Dar kujaribu fursa . Waliothubutu walitoka na maisha yalibadilika mpaka vijini kwao na wengine maisha yalikua magumu walishindwa kurudi makwao . Na wale waliobaki vijijini si wote waliofanikiwa ,so maisha popote tena anaethubutu hufanikiwa kwani husemwa mtembea bure si sawa na mkaa bure
 
Mleta mada nenda bwana na ukabarikiwe.tunajua wazi kila mtu na bahati yake na juhudi zake ktk kutafuta na kupata,nimekua na ndugu kadhaa akiwemo baba yangu mdogo aliye kaa huko miaka 12 na amerudi sasa,japo amerudi akiwa hana kitu hata mimi kijana kwake nimempita maisha na aliniacha nasoma shule ya msingi hapo NYAMAGANA.wengine nao wanatupigia tuwaandalie makao wanataka kurudi,yote kwa yote ni kweli tusikukatishe tamaa,nenda ndugu kapambane kila mtu na alivyopangiwa,Wasalimie huko
 
I have been there naelewa unachosema mi namuonea huruma tu hasa kama hajui mtu huko anakotaka kwenda

Siwez enda nchi ya watu labdaa kusoma au kutembea au kusalimia ndugu jamaa na marafiki
haswaaa kwa mtindo jamaaa anaoutumia ATALIA SANA SIKU SI ZAKE.....ila nadhani kwa uzi huu ataairisha
 
Mzalendo nipe wilaya moja nijichimbie namie nifaidi fursa.
Mkuu itategemea unapandelea shughuli za namna gani
kwa mfano.
kama unapenda kufanya kilimo
wilaya zitakayo kufaa zipo ndani ya Mikoa ya Rukwa na Ruvuma.
Kuna rutuba balaa na pia waweza kufanya kilimo cha umwagiliaji baadhi ya maeneo,
Kuna watu wenye 'bidii' kwa sasa wametoka mbaya...walienda huko na mifuko ya rambo tu lakini leo......
kama vipi namtaja bwashee mmoja yuko Mpanda ni Billionea.Asenga.
N.B.
Hii mikoa iko mipakani hivyo basi......kuna fursa nyingine zaidi ya kilimo.
 
Mimi nimekaa majimbo kadhaa ya huku America kama vile DC,Virginia,Maryland na NewYork city,swali la kwanza ili nikusaidie una miaka mingapi na una elimu level gani nijue pa kuanza kutoa ushauri binafsi.
 
Hiyo nauli itumie kupanga kitu cha kufanya, either km n biashara ama la! Uko ambako huna ndugu nakuhurumia usije kuwa mwizi au tapeli huko. By the way All the best!
 
Jamani nataka kwenda Marekani kutafuta Maisha nauli ninayo kwa anaejua Prosees za kufika kule na michongo ilivyo amtired Bongo maana sina ndugu yeyote anaekaa ulaya naombeni msaada jamani

Wee nenda pale Kurasini zamia meli tuh kibaharia usiwe goi goi dogo hutatoka
 
Yaani ukirudi nyuma miaka kadhaa watu walitishwa sana walipotaka kuja Dar kujaribu fursa . Waliothubutu walitoka na maisha yalibadilika mpaka vijini kwao na wengine maisha yalikua magumu walishindwa kurudi makwao . Na wale waliobaki vijijini si wote waliofanikiwa ,so maisha popote tena anaethubutu hufanikiwa kwani husemwa mtembea bure si sawa na mkaa bure

Unajua ndg yangu cc watz UOGA ni JANGA kwetu....huyu ndg anaetishwa Akifanya ubishi akienda nakufanikiwa akirudi hapa wote watamheshimu Tatizoletu niwatu wakulidhika mtu akiweza kumiliki Store inayoitwa nyumba na VITZ amemaliza Hii nitofauti kwa jamaa wa nch nyingine kwenye kutafuta hakuna kuogopa ila nivzr kujua changamoto utakazo zikuta itakusaidia kuishi nazo mimi kiukweli mtu akisema Dar, imemshinda anasonga mbele huwa namheshimu sana kuliko anaeliatu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom