Ni nzuri tu, ila service charge za dollar huwa IPO juu. Unaonaje ukienda kuuliza bank?Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
Ok nitafany ivoNi nzuri tu, ila service charge za dollar huwa IPO juu. Unaonaje ukienda kuuliza bank?
Mkuu akaunti za watoto hua hazina makato ata kama ni fedha za kigeni.Ni nzuri tu, ila service charge za dollar huwa IPO juu. Unaonaje ukienda kuuliza bank?
Nipo naendelea kupata elimu kuhuc iyo UTT nadhan baadae nitahamia ukoKamfungulie UTT ... hiyo hela itakua kwa rate nzuri kuliko kwenye bank akaunti. Au kaweke kwenye bonds au nunua shares.
Kuwa mzalendo, mfungulie account ya shilingi.Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
Hakuna cha uzalendo apa nimeshamfungulia kitamb sanKiwa mzalendo, mfungulie account ya shilingi.
Faida:Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
Shukran mkuuFaida:
1. Utaweza kutunza thamani ya pesa yako, kwa sababu kushuka kwa thamani ya pesa ya kigeni sio sawa na pesa ya Kitanzania.
2. Kuna faida kwenye baadhi ya akaunti za watoto. Faida siyo kubwa sana ni kama 0.5% kwa pesa ya kigeni kwa mwaka.
Hasara
1. Mara nyingi kwenye kutoa pesa cash hawakupi dollar ila wanakupa equivalent ya dollar kwa bei yao ya kununua yaani ni kama unawauzia pesa ya kigeni ili wakupe pesa ya Kitanzania. Bei zao za kununua hua siyo rafiki na ni ngumu kubadili kwenye maduka yenye rate nzuri au black market.
2. Huwezi kuweka pesa kwa wakala ni mpaka uende kwenye tawi ili wabadilishe pesa ndio uweke kwenye akaunti. Hii ni tofauti na akaunti za watoto za pesa ya Kitanzania ambazo unaweza kuweka pesa benki au kwa wakala.