Ngoja wahehe waje watakushauri vizuri, maana wao ndiyo wataalamu wa mavituz haya.
halafu mbele yake aongeze "Hell"
Ungesema unafikiria kujiua na Sio unataka kujiua, hata hivyo pole nakushauri rudi kwa dr wako inawezekana dawa ulizokuwa unatumia hazikufanya kazi vizuri, historia yako itaweza kumpelekea dr kujua unasumbuliwa na aina gani ya depression, is it clinic or major depression? Umeshawahi kutumia aina tofauti za antidepressants? are you suffering from bipolar disorder? e.t.c. tafuta psychiatrist mzuri wengine ni mburula, good luck .
Pole sana, unastahili maombezi ni pepo hilo.
Hebu waza jinsi ugali ulivyo mtamu.....
Fikiria raha ya kupumua....
Bado unataka kujiua?
Badili hili jina,jiite hata "sign in". Surround yourself with positive thoughts
Hiyo inaonyesha bado tatizo la saikologia yako bado lipo, na kwemba tafahdari rudi upesi kwa mtalaamu wa saikologia ili akufanyie tathimini na aweze kukupa msaada stahiki, kama ni dawa au ni ushauri. Zingatia sana.
Hebu waza jinsi ugali ulivyo mtamu.....
Fikiria raha ya kupumua....
Bado unataka kujiua?
Jana nimekula makange nikamkumbuka Nyani Ngabu. Anayamiss sana aisee. Makange ni sababu tosha ya kutaka kuendelea kuishi! Nasaka mahela tukafungue swahili restaurant in his home town. Utakuja kuwa mpishi ama niibe wa rose garden?
Jana nimekula makange nikamkumbuka Nyani Ngabu. Anayamiss sana aisee. Makange ni sababu tosha ya kutaka kuendelea kuishi! Nasaka mahela tukafungue swahili restaurant in his home town. Utakuja kuwa mpishi ama niibe wa rose garden?
[SIZE=3 [USER=136634]Log out[/USER], kujiua siyo suluhisho la kukimbia matatizo.Bado mkuu Maubero
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Kuzimu ni salama sana kwako!Unatafuta mume kinguvu?
umerogwa aisee. hakikisha hujiui. pole sana. ngoja niwaite akina Passion Lady na nduguye Lady doctor wakupe maushauri. mkuu wewe ndo Washawasha?. mia