cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,416
Kama huna background ya business usikurupuke kuacha kazi nchi hii kujiajiri kuna changamoto na vikwazo vingi sana tu, usione watu wanakomaa na kuajiriwa ingia mtaani uone tena awamu hii waliojiajiri wanapata tabu sana, ukitaka kuacha kazi anza kitu chako taratibu kikiwa kikubwa ndo uacheWhich security bro? Do you know how many people are living out there without these govt jobs and are very happy? I think you have no taste of being your own boss, no matter how much you get what matters is true happiness.