Msaada: Nataka kuacha kazi ya kuajiriwa na nina mkopo benki niliochukua na kuweka mshahara wangu dhamana

Maisha ya kazi hata kama unalipwa milion mbili.....inabidi uhakikishe umejenga nyumba ya maana, umeoa na Una shamba Kwa ajili ya kulima mazao ya chakula cha familia,trust me hata wakikufukuza utamshukueu Mungu kwasabab Una nyumba,Una mke na unaweza kulima.

Kwenye ajira kuna ujinga mwingi Sana,sio vibaya kulitumikia taifa lakini ni vibaya kulitumikia taifa mpaka ukazeekeako huko,Ile unarudi kwenye jamii yako haikujui maana Kwanza umezeeka,pili hauna msaada wowote kwao,na mwisho wanakuwa wanakuona kama ulienda huko ukala mshahara Kwa stareh zako na umezeeka ndo unajifanya kurudi kuishi nao.

Siwez kumshaur kijana wa Leo afanye kazi mpaka kuzeeka,just miaka 5 mpaka 10 then Rudi kwenye jamii yako. Bora ukazeeka na jamii yako na ukafia kwenye jamii yako utajihisi Furaha. Maisha ni majinga ukikosea kidogo umekwisha.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kama mkopo wako una bima tembea.....watalpana na bima huko
BIMA hulipa endapo mkopaji amefariki, amepata ulemavu kiasi ambacho hawezi tena kufanyakazi na majanga mengine.
Pia BIMA nyingine hulipa mkopo katika hayo niliyotaja hapo juu pamoja na mtu aliyeachishwa kazi au kupunguzwa LAKINI sio ANAYEACHA MWENYEWE kwa HIARI YAKE bima haitahusika.
Na kama mkopo mkubwa utasakwa mwisho utapigwa BAN na taasisi zote za kifedha katika masuala ya mkopo.
Nijuavyo mimi Lakini.
All the best mtoa mada nakutakia mafanikio kwenye michakato yako
 
Mkuu yaani wewe na Mimi hatuchekani! Na Mimi Nina mkopo wao wa miaka minne wiki ijayo nawachana 24 hours notice ya kuachana na serikali, nawaachia mafao yangu yasipotosha wanifuate huko ninakohamia!
So.... What happened at the end of the day??
 
Back
Top Bottom