Msaada: Nataka kuacha kazi ya kuajiriwa na nina mkopo benki niliochukua na kuweka mshahara wangu dhamana

Which security bro? Do you know how many people are living out there without these govt jobs and are very happy? I think you have no taste of being your own boss, no matter how much you get what matters is true happiness.
Kama huna background ya business usikurupuke kuacha kazi nchi hii kujiajiri kuna changamoto na vikwazo vingi sana tu, usione watu wanakomaa na kuajiriwa ingia mtaani uone tena awamu hii waliojiajiri wanapata tabu sana, ukitaka kuacha kazi anza kitu chako taratibu kikiwa kikubwa ndo uache
 
Wasalaam waugwana.

Mimi ni mwajiriwa serikalini. Kama miezi 6 iliyopita nilichukua mkopo kwenye benki mojawapo hapa nchini na dhamana ilikuwa ni mshahara wangu.

Kutokana na sababu fulani fulani, nataka kuacha kazi na nifanye mambo yangu binafsi. Ninaweza kuwa nalipa benk kiasi kilekile wanachokata kwa mwezi lakini sio kwa kutegemea mshahara tena.

Je, natakiwa kufuata utaratibu gani ambao haitaonekana kuwa nataka kuruka mkopo?
B4 YOU QUITE YOUR JOB-By ROBERTY KIYOSAKI

Sent from my HUAWEI TAG-AL00 using JamiiForums mobile app
 
motivational speakers wengi wanahubiri mambo katika wepesi ambao ni tofauti ya 85% ya ukweli wa mambo na hali halisi ilivyo..

na wanawapoteza watu wengi sana kwan wengi baada ya kuhudhuria hizo semina kwa wingi wamejikuta wanafanya maamuzi kwa wepesi ule walioaminishwa na kuja kujuta kwan in reality mambo yapo vingine kabisa

(haihusiana na tatizo la mleta mada)
Ni kweli hawa wanadaganya watu sana na vile Watanzania huwa hatujiongezi basi ni tabu tupu, kuna mmoja alidaganywa akakopa na kuliwa hela yake na kazi kaacha sasa hivi anazunguka tu ka kachanganyikiwa. Kabla ya kufanya jambo lazima kulichunguza kwa undani, na Ku angalia faida na hasara husika ili baadae usijutie
 
Wala usiogope andika barua benki waambie unataka kuacha kazi na utalipa mkopo kutoka shughuli zako binafsi, na uwaombe grace period wakati unajipanga. Baada ya hapo walipe kama kawaida
 
Watu wazima mbona mnakua wapumbavu hivi???
Mtu mpaka kufikia umauzi wa kuacha kazi serikalini maana yake ameishafanya SWOT analysis ya kutosha.
Halafu wewe na magagulo yako unatoka huko kushiba makande unaanza kubweka eti "Oooh.. usikurupuke kuacha kazi"

Balagh-Shatwain
Pu..mbavu mwenyewe MTU mzima mwenyewe haya ni maoni yangu matusi ya nini hebu kua huko na wewe mfyuuuuuuuu
 
Ni kweli hawa wanadaganya watu sana na vile Watanzania huwa hatujiongezi basi ni tabu tupu, kuna mmoja alidaganywa akakopa na kuliwa hela yake na kazi kaacha sasa hivi anazunguka tu ka kachanganyikiwa. Kabla ya kufanya jambo lazima kulichunguza kwa undani, na Ku angalia faida na hasara husika ili baadae usijutie
true dat mdau
 
Hivi kama mafao ni kidogo kuliko mkopo si anaweza akasepa kinyele msala akaachiwa Mwajiri?

Hakuna sehem mwajiri anachukua jukumu la kulipa mkopo endapo mfanyakazi ataacha kazi. Anachofanya ni kwanza, kukubali kwamba mhusika ni mwajiriwa wao, pili, taarifa za kiwango cha mshahara na kwamba watapitishia mshahara wake kwenye benki yao na mwisho, kuwataarifu benki kwamba mfanyakazi wao ameacha kazi.

Kwa mantiki hiyo, hata ukiacha kazi, bado suala la mkopo wako ni jukumu lako, haliwezi kuwa la mwajiri. Inaweza ikawa tofauti endapo umeachishwa, unafuu wake watakusikilizia ukiwa unatafuta kazi sehem nyingine.
 
Which security bro? Do you know how many people are living out there without these govt jobs and are very happy? I think you have no taste of being your own boss, no matter how much you get what matters is true happiness.
Ndo nayoyasema haya wabongo kwa kikatishana tamaa hatujambo
Eti job security serikalin ipi hiyo?
Mwenyewe nshaamua kusepa sijal
Kwan waso na ajira serikalin hawaishi?
Juzi kati nimelipwa chek ya 10 na kampuni moja is insurance,nimepanga 5 nifungue business,halafu 5 za kula na family nikisikilizia biashara yangu
Job security bongo? Hamnaga
 
Ndo ukwel haina maana unafanya kazi tena kwa juhudi na maarifa but your not happy

Umezungukwa na mijitu ukiperform inakalia kukusema vibaya na kukununia ,kisa umeyazid uwezo,so kipi bora? Nipretend kuwa lever zao afunipoteze ndoto zangu?
Si bora tuyaachie ofic zao yajiachie tu
If you good you good

Halafu Huwezi kunipurnish Mimi eti kisa naperform,we were born to fight and win
 
Watu wazima mbona mnakua wapumbavu hivi???
Mtu mpaka kufikia uamuzi wa kuacha kazi serikalini maana yake ameishafanya SWOT analysis ya kutosha.
Halafu wewe na magagulo yako unatoka huko kushiba makande unaanza kubweka eti "Oooh.. usikurupuke kuacha kazi"

Balagh-Shatwain
Aiseee.....
 
Kama huna background ya business usikurupuke kuacha kazi nchi hii kujiajiri kuna changamoto na vikwazo vingi sana tu, usione watu wanakomaa na kuajiriwa ingia mtaani uone tena awamu hii waliojiajiri wanapata tabu sana, ukitaka kuacha kazi anza kitu chako taratibu kikiwa kikubwa ndo uache
Always there is no right time to quit, people have been saying the same story over ten years, but they are still there waiting to retire..
 
Ndo ukwel haina maana unafanya kazi tena kwa juhudi na maarifa but your not happy

Umezungukwa na mijitu ukiperform inakalia kukusema vibaya na kukununia ,kisa umeyazid uwezo,so kipi bora? Nipretend kuwa lever zao afunipoteze ndoto zangu?
Si bora tuyaachie ofic zao yajiachie tu
If you good you good

Halafu Huwezi kunipurnish Mimi eti kisa naperform,we were born to fight and win
Na huko makazini nako ni changamoto aisee
 
Always there is no right time to quit, people have been saying the same story over ten years, but they are still there waiting to retire..
Umeona eeeh hyo si kitu rahisi ka wanavojifariji hyo huweza wahindi na wenye background za business from family level
 
Kujiajiri sio mchezo mkuu
Jiandae kuichukia serikali yako kama ukijiajiri
 
Back
Top Bottom