Wewe hutokopesheka kwenye Bank yoyote nchini.Kwani ni lazma nkope bank hiyohiyo?
Kwan ni lazma kukopa? Hizi ni akili za woga wa maisha ctakopaje nkiwa na hati ya nyumba au dhamana isiyohamishika? Hata hivyo watakata pension fundWewe hutokopesheka kwenye Bank yoyote nchini.
Kukopa si lazima boss.Kwan ni lazma kukopa? Hizi ni akili za woga wa maisha ctakopaje nkiwa na hati ya nyumba au dhamana isiyohamishika? Hata hivyo watakata pension fund
Wasalaam waugwana.
Mimi ni mwajiriwa serikalini. Kama miezi 6 iliyopita nilichukua mkopo kwenye benki mojawapo hapa nchini na dhamana ilikuwa ni mshahara wangu.
Kutokana na sababu fulani fulani, nataka kuacha kazi na nifanye mambo yangu binafsi. Ninaweza kuwa nalipa benk kiasi kilekile wanachokata kwa mwezi lakini sio kwa kutegemea mshahara tena.
Je, natakiwa kufuata utaratibu gani ambao haitaonekana kuwa nataka kuruka mkopo?
Uzi wa 2018 itakua kashamaliza mkopo...KAMA WAACHA KAZI NA UNA INCOME INAYOWEZA LIPA MKOPO WAO KWA MWEZI, MAKE SURE THAT BY END MONTH HELA YAO IPO, KAMA HAUNA KIPATO KABISA WHICH MEANS ITACHUKUA MDA KUWALIPA, KWA NINI UACHE KAZI? HUO NI USANII, HELA YA WATU UTALIPAJE?
ALL IN ALL HAWAWEZI KUKUFUNGA, NA MUAJIRIWA WAKO WANAWEZA MFUATILIA KIDOGO, KAMA NI LAZIMA KABISA UACHE KAZI, NA HAUNA NAMNA, WE NYAMAZIA TU HIVYO HIVYO, BAADA YA MWEZI NENDA KATOE TAARIFA BANK, WAAMBIE UNATAFUTA KAZI INGINE!
ILA NDUGU, WAZA SANA KABLA UJAACHA KAZI, KILA MAHALI PANA CHANGAMOTO THE SAME!
We bado una akili za chuo sio kwa nchi yetu ya Tanzania trust me or not hakuna mwenye muda huo wa kufuatilia unadaiwa au hudaiwiKukopa si lazima boss.
Wewe ulishakimbia na mkopo wa watu.
Hukutaka kukaa nao mezani mfikie muafaka.
Walikutafuta ukaingia mitini.
Kuna kitu kinaitwa CRB wakiingiza jina lako wanakukuta huko umedefault.
Hakuna Bank itakayokuamini tena kukopesheka.
Kingine kuwa na nyumba na dhamana isiyohamishika si kigezo cha kukopa kigezo kikubwa ni uwezo wako wa kulipa mkopo, nyumba hailipi mkopo.
Kwa kuwa hujaajiriwa umejiajiri inabidi uwe na reliable source of income, bank statement n. K.
Hakuna bank itakuamini kama ulikopea mshahara bank fulani ukasepa na kuingia mitini.
Sawa.We bado una akili za chuo sio kwa nchi yetu ya Tanzania trust me or not hakuna mwenye muda huo wa kufuatilia unadaiwa au hudaiwi
Ni kwamba qnet imeshakula kichwa cha mtu hapo. Nipo kazin na jamaa wa qnet, walisema wanaacha kazi mwaka jana mwezi wa nane, ila bado tunao kazini hadi kesho sijui bado shimo halijatema?????😂😂😂😂😂wenzako wanatafuta kazi alafu ww unaacha kazi... ushauri wangu usiache fanya kazi huku unapiga mishe zako zingine..
kazi ya serikali ni security tosha if know what i mean
hizi semina za hawa motivational speakers zinawaponza sana watu daaaah
Watu wengine hawajui manyanyaso ya ofisini, we acha tuNdo ukwel haina maana unafanya kazi tena kwa juhudi na maarifa but your not happy
Umezungukwa na mijitu ukiperform inakalia kukusema vibaya na kukununia ,kisa umeyazid uwezo,so kipi bora? Nipretend kuwa lever zao afunipoteze ndoto zangu?
Si bora tuyaachie ofic zao yajiachie tu
If you good you good
Halafu Huwezi kunipurnish Mimi eti kisa naperform,we were born to fight and win
Hii ndo nzuriKabla ya kuacha omba likizo ya bila malipo usome ramani kwanza
Hajui haya huyu?Kukopa si lazima boss.
Wewe ulishakimbia na mkopo wa watu.
Hukutaka kukaa nao mezani mfikie muafaka.
Walikutafuta ukaingia mitini.
Kuna kitu kinaitwa CRB wakiingiza jina lako wanakukuta huko umedefault.
Hakuna Bank itakayokuamini tena kukopesheka.
Kingine kuwa na nyumba na dhamana isiyohamishika si kigezo cha kukopa kigezo kikubwa ni uwezo wako wa kulipa mkopo, nyumba hailipi mkopo.
Kwa kuwa hujaajiriwa umejiajiri inabidi uwe na reliable source of income, bank statement n. K.
Hakuna bank itakuamini kama ulikopea mshahara bank fulani ukasepa na kuingia mitini.
Ni changamoto kweli kweli watu wanaweza kuku mind kuanzia uvaaji wako,kisa umewazidi maybe elimu na wao wazoefu lazima watafte kikosa tu kuua confidence yako, maisha ni changamoto daily yanaibuka mapyaUsiombe cariha
Ukipata promotion, scholarship ni full vita yaan
Ila inabidi uwe vry strong sana daah
Uko sawaDuniani kuna wengine watatumikishwa mpk watakapondoka duniani na wengine hata Kama wataajiriw wataacha ajiriw zao na kujiajiri
Hawajafumga Ila Hali si sawa unaweza kuwa na mtaji Ila uzoefu huna na kufanya lobbying za hapa na paleBiashara gani mbaya sema hauna mtaji, au umeng'ang'ania biashara moja, mbona hatujaona wafanyabiashara wote wamefunga baishara zao
Mimi yamenikuta na nazidi kupambana nao, Mungu ni mwema yaaanNi changamoto kweli kweli watu wanaweza kuku mind kuanzia uvaaji wako,kisa umewazidi maybe elimu na wao wazoefu lazima watafte kikosa tu kuua confidence yako, maisha ni changamoto daily yanaibuka mapya