Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,254
Mkuu aksante kwa ushauri wako. Kimsingi nimeshafanya maamuzi ninachouliza hapa ni safe exit bila kukwaruzana na taasisi za fedha wanaonidai.
Nimefanya kazi serikalini miaka 15 sasa hivyo naelewa ninachofanya. Unfortunately sijawahi kuhudhuria kwenye hizo semina kiongozi.
the seminar part was just a joke
now umesema umefanya kwa miaka 15 ww upo kwenye pension kwahiyo ukiacha kazi sikuna haki yako unapata? kama ndivyo wala usijali bank watachukua chao juu kwa juu kutoka kwenye hiyo stahiki yako