Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?