Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,417
- 10,018
Ni kweli Kuna wakati Tanzanite inaingia mapema kuliko Ally's, lakini Mara nyingi Ally's anaingia mapema kuliko Tanzanite. Mimi ni mdau mkubwa wa usafiri hasa route hiyoNaona wengi mnakomaa Na Ally star Sidhani Kama mna uzoefu sana na hiyo njia, Tanzanite anaikalisha Ally star daily, mimi ni nasafiri Sana wa hiyo njia naongea Kwa uzoefu wa sasa.
List ipo hivi
- Ally's
- Tanzanite
- Zuberi
- Dar Lux( huyu kuna muda huwa ni namba moja)
- Happy Nation