Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Mtu ana makanisa zaidi ya 400, anamiliki helicopta, anawaumini zaidi ya elfu 70 n.k bado unauliza CV? kama amemuajiri mtu anayerusha chopa ambaye CV yake ni ya hali ya kuelewaka bado unahoji muajiri? unajua CV ya dangote? unajua CV za Said Bakhresa? unajua cv za Watu wengi waliofanikiwa kifedha?
 
Gwajima anafuata mafundisho ya yesu sasa nakuuliza kama mwalimu hana cheti mwanafunzi atakitoa wapi.? Hicho kichwa ukitumie kwa kufikiri siyo kufugia nywele
Yesu yupi? Yesu hajawahi kuuza unga wala kutembea na wake za watu
 
Huko nchi za wenzetu uliuliza kama wanatajanatajana hovyo kwenye media kuwa wanatumia ngada?

We mimi nina mashaka jinsia yako ni ile namba 3



Na leo utaugua sana na Gwajima. Povu litakutoka mwana kwetu mpaka upandwe mori wa kidigo
Jinsia yangu ukitaka ujue nenda kanusa papuch* ya mama ako ndo utaijua
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Wewe ndo mamlaka ya kukagua vyeti vya wachungaji? Unaonaje ukaishauri serikali yako mkuu wakatunga sheria ya sifa za mtu anayefaaa kuwa Mchungaji ili kuwe na chombo cha kuwafanyia vetting na wakuteuwe uwe mkuu wake ili umshughulikie gwajima? Hahaaa
 
Kwani yesu na mitume zake walikua na vyeti!?

Vipi kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W) Alikua na vyeti!?

Muacheni gwajima wa watu aendelee kutupa Habari za Uzima na Ufufuo
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Uchungaji hausomewi
 
..Hizi tabia za Kitanzania ni za ajabu mkuu..Akipata cv yake sijui anaifanya nini.....Pia wanasahau hiyo vita itaisha na watu watakosa cha kuandika humu...Hao wote ni WATU WA KUKALISHWA NA KUAMBIWA KWA LUGHA MOJA NA KUSIKIA NA WAKASHIKANA MKONO na Wataambiwa kitu Kimoja tu "Lekagi ámamihayo tokwiduma gete" na watanyamaza...mfano kuna watu walisubiri bifu kali ya Makonda na Msukuma na wakajiandaa...hicho kitu hakiwezekani...
 
Binafsi natamani kusoma bachelor ya Theology ila siku nikikuta lecturer ni Gwajima naacha siku hiyohiyo. Nimemsikia akijisifu kuwa yeye ni lecturer mara kadha hivi.
 
Ni
Nina maswali mengi kuhusu Gwajima ambayo hayana majibu.Ila kila mtu na imani yake ingawa wengine wanaabudu idols.
 
Team Bashite povu la watoka
Kutesa kwa zama bhanaa
 
Majibu utayapata ibada ya jumapili ijayo ataweka hazarani tulia
 
Baba Askofu Gwajima ataweka wazi kwenye ibada ya Jumapili ila labda tupate ya daudi
 
hahah uchungaji hausomew ni kama mganga wa kienyeji...mungu anamuinua mtu anakua mchungaji ila akitaka kwenda kusoma ni uamuz wake sio Lazima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…