Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Mleta mada unataka cheti cha gwajima cha uchungaji ....nenda ofisin kwake atakupa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muulize DAUDI BASHITE wanajuana VIZURI sana
 
Ila Ana ka inglish fulani amazing sizonje anasubiri kwa mbali
 
Usimfananishe yesu na vitu vya kijinga wewe
Gwajima anafuata mafundisho ya yesu sasa nakuuliza kama mwalimu hana cheti mwanafunzi atakitoa wapi.? Hicho kichwa ukitumie kwa kufikiri siyo kufugia nywele
 
Akirudi kwenye media kuliongelea hili nitamshukuru sana
 
Mchungaji Gwajima atakujibu,nina uhakika ila wewe jiandae kusoma kurasa kama 15 kwa kimombo,sijui kama utaelewa
 
Huna akili, uliza nchi za wenzetu kama uchungaji unajipachika tu kiholela
Huko nchi za wenzetu uliuliza kama wanatajanatajana hovyo kwenye media kuwa wanatumia ngada?

We mimi nina mashaka jinsia yako ni ile namba 3



Na leo utaugua sana na Gwajima. Povu litakutoka mwana kwetu mpaka upandwe mori wa kidigo
 
Hata ukijua yeye sio mkuu wa mkoa,sio mtumishi wa umma,nk
Ni kweli yeye sio mtumishi wa umma bali ni mchungaji ila bado ni public fegure. Na kama mchungaji hapaswi kujihusisha na siasa na hata kama akijihusisha apaswi kusubili injili kwa kutusi watu haipendez bwana Yesu alituagiza kupenda adui zetu na kuwaombea mema.

MCHUNGAJI GWAJIMA kama mchungaji na mfuasi wa Kristu si vyema anayofanya na nina mashaka na PhD hiyo ya theology. Mungu iokoe Tanzania
 
Vyeti vya bashite vimegoma kuonekana nini!

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23] eti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University.

Maana mtaka cha uvunguni sharti ainame ebu aoneshe mfano wa kuonesha vya kwake ndio tuzungumze ya RC
 
Mtoa mada,ktk historia wenye vyeti fake na elimu ya kungaunga wako kwenye vyama vya siasa. Hakuna watu wa namna hiyo kwenye KANISA.
Ndio huyo wa kwanza aseme wazi maana wengine tumjua mtoto wa huku kwetu na kasoma pamba na hapo ndipo aliposoma makonda na alikua mwimba kwaya wa kanisa fulani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti bashite.. TUNATAKA kujua uhalali wa vyeti cha GWAJIMA hata hicho cha PhD cha Omega University.

Maana mtaka cha uvunguni sharti ainame ebu aoneshe mfano wa kuonesha vya kwake ndio tuzungumze ya RC
Acha kutokwa na makamasi!watu wanataka jua
Ukweli kuhusu mkuu wa mkoa wao ebbooo

Ova
 
Basi mwacheni makonda na yeye apige kazi, kwani mliambiwa kukemea madawa ya kulevya kunahitaji cheti ? Mfyuuu
Nna wasiwasi huyu ndo BASHITE mwenyewe,vinginevyo ni jamaa yake wa karibu kaamua kuzama naye
 
Mmeombwa CV nyie maelezo mengi.fuata maelekezo ndio maana mnafeligi mtihani kwa kutofuata maelekezo ya swali na kuanza kutoa maelezo marefu.....
 
We huoni povu linavyomtoka sasa hvi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…