Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Wewe ndio hujielewi maana katika maandiko hakuna mahali ambapo mtume walisoma pamoja na MANABII pia.
 
=kufikiria
=nje
Uwe na siku njema mkuu.
 
Cheti chake ili kikusaidie nini? Uchungaji wa makanisa yetu haya hauhitaji vyeti mkuu
 
gwajima unaemtetea nae kageuza mashambulizi
 
Ukipata CV ya Gwajima ili ikusaidie mini, acha kupoteza muda wsko Fanya mambo ya maana. Kwani unataka kumpa ajira Wewe no afisa mwajiri?
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Sasa warumi naona mdogo mdooogo akili inaanza kuacha akili amini hivyo
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Tukianza kuulizana vyeti vya dini ni wakatoliki pekee wenye elimu rasmi.

Personally sina shida ya Gwajima maana simlipi mshahara.
 
Uchungaji hausomewi,hata Bwana Yesu Kristo alipo kuja Duniani hakuna mahali ambapo pameandikwa alienda shule,Sauli ambaye ndiye Paulo alisoma chini ya mwalimu mkuu Gamalieli,na baada ya sauli kukutana na nguzo ya moto Ambayo ni Mungu Mwenyewe,alisema na ya hesabu haya yote kama Mavi juu ya Neno la Mungu.so nakushauri Kaa sirini na Bwana Yesu atakuongoza kuhusu ni nini maana ya Mchungaji na anatakiwa awe na qualifications zipi.
 
Kama hii ni kweli,basi kuna shida !Kwanza watu wanaojiita watumishi kutoka Congo wana tabia ya kutumia ushirikina sana katika huduma zao.Halafu Dah, kutoka darasa la tano mpaka kupata mafanikio aliyo nayo sasa! Sijui bwana labda mimi taahira,lakini ipo shida kubwa.
 
Gwajima kajiajili na ajaajiliwa na kama kaajiliwa basi aliemwajilia haitaji vyeti
 
Ilitabiriwa na manabii kuwa dola ya Warumi ingesambaratika na huu ndio mwako wa kusambaratika. naona umeamka na Gwajima leo,lakini mbona mlivyomtangaza na anabwia ngada yy hakutokwa na povu kama hilo lako? Mwokoe Daudi Alberth Bashite povu kwa Gwajima halimwondolei tuhuma.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…