Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

Sasso

JF-Expert Member
Aug 9, 2023
529
1,899
Kwema Wakuu,

Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu.

Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc

Nicheki PM au unaweza nipa mwongozo hapa hapa. Natanguliza shukrani.
 
Kabla ya kupanga chumba, hakikisha unafikia lodge hii
 
Vyumba Dodoma ni kama tu Miji ya Dar na Arusha.Be ya Chumba Self Contained Unaweza Kupata 60,000 nje ya Mji na 80,000 maeneo mazuri kiasi na 100-120 kwa maeneo ambayo ni standard.Ukitaka Kupata Chumba Kizuri ni vizuri uwe ndani ya Dodoma kwanza ili uwasiliane na Madalali
 
Hatari sana. Mdau hajasema jina la lodge, ningejisogeza na mimi nione alichopewa 🤣🤣
 
Vyumba Dodoma ni kama tu Miji ya Dar na Arusha.Be ya Chumba Self Contained Unaweza Kupata 60,000 nje ya Mji na 80,000 maeneo mazuri kiasi na 100-120 kwa maeneo ambayo ni standard.Ukitaka Kupata Chumba Kizuri ni vizuri uwe ndani ya Dodoma kwanza ili uwasiliane na Madalali
Shukrani sana mkuu, nitazingatia hilo bila shaka
 
Vyumba Dodoma ni kama tu Miji ya Dar na Arusha.Be ya Chumba Self Contained Unaweza Kupata 60,000 nje ya Mji na 80,000 maeneo mazuri kiasi na 100-120 kwa maeneo ambayo ni standard.Ukitaka Kupata Chumba Kizuri ni vizuri uwe ndani ya Dodoma kwanza ili uwasiliane na Madalali
awe makini, madalali wa Makao Makuu hawana tofauti sana na wa daslam, mpaka apate chumba watakuwa wamemkamua pesa hatari asipokuwa mkali, halafu huwa wana tabia ya kuitana ama kubebana..
 
Kabla ya kupanga chumba, hakikisha unafikia lodge hii
Hii ndo ID yako mpya baada ya ile ya boss la dp world kupigwa ban?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom