Msaada naona hii hating capacity itaniumiza

Twenitwo yrs bado sana, i bet your studying bado focus kwenye kusoma and if not basi focus kwenye mambo mengine. Mapensi yapo tuu mdogo wangu.
 
Kumchukia Ex ndo mwanzo wa kumove on.

Pole mwaya ndo kwanza break up ya pili [emoji38].mimi hapa nna PHD za break up na mapenzi siwezi kuyaacha ni matamu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kupanga ni kuchagua.
Kujaribu kuchukia kitu ambacho kinakupa furaha ni kazi ngumu sana.Haina haja ya kuchukia mapenzi,wakati watu wazuri na waaminifu bado tupo.
Nipo upande wako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]somehow napata katumaini...maana mpaka naogopa hata hyo
ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko Vice Versa

Mimi nimetokea kuwachukia Sana Wanawake Aiseee
 
Mrudie aliyekuacha mchane makavu kuwa mkikutana mpeane Hi na Kama vipi mambo mengine yaendelee!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu date na wanawake usiowapenda full stop.

Namaanisha wale ambao roho yako inasema hata wakikuibia na kutoroka hutahangaika kuwatafuta.


Unaumizwa kwa sababu wewe ndo unatangulia kuwapenda na kiuhalisia huwezi kupata mtu anayekupenda Kama unavyompenda wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni njia nzuri coz huyu akizingua unaenda kwa mwingine .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapime tezi dumee. Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naogopa kuanzisha mahusiano mengine naona n mapema mnooo nataka nipone kwanza like 2-6 years

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuidhulumu nafsi yako. Unahitaji mtu wa kutuliza maumivu yako. Usipofanya hivyo hayo maumivu yataendelea kwa muda wote huo wa 2-6yrs. After all baada ya miaka sita mvuto wako utakuwa umeshapungua sana. Jipe moyo, fungua moyo kwa yeyote atakayekidhi vigezo vyako, hata akija sasa.
 
Kuna dini flan wanaruhusu kuoa wake 4 kwa siku. Hata kuna mh flan hivi alioa/alifunga ndoa 2 kwa siku moja hapa hapa Tz kwani hiyo dini inaruhusu. Sasa kwa nini weye mwanamke usiwaambie wazi kuwa, Utawamudu ila wakubali ratiba yako kwao?? Si unawaweza? Na haswa ka ni waume za watu?? Nadhani kama kuna ndoa za contract basi uwepo na mchepuko wa contract.
 
Mkuu Huu utakuwa UMALAYA na sio mahusiano
Mahusiano yeyote yasiyo rasmi ni umalaya tu. Waweza uita vyovyote ila neno rahisi ni umalaya. Make it oficial and thing will be ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…