simpasa 202
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 297
- 202
Bado serikali ina hisa katika benki hii, na serikali ilipata gawio lake wiki kadhaa zilizopitaIlikuwa zaman ilipobinafsishwa ikaitwa crdb,zaman ilimilikiwa na serikali ilikuwa inaitwa benk ya ushirika na marndeleo vijijini soma umiliki was sasa was crdb,so crdb bank,neno crdb halona kirefu kwa sasa
kirefu chake niWandugu,
Mimi nina umri mkubwa kiasi, na niko Dar zaidi ya miaka 30 sasa. Nafahamu IPP ni group of companies zinazomillikiwa na bwaba R. Mengi. Lakini nini kirefu hasa cha IPP?
Help Please!
Si kweli kwamba CRDB haina kirefu. Kirefu cha CRDB ni Cooperative Rural Development Bank.
Kirefu kilitika baada ya kuchange umiliki, na wakaogopa kuloose wateja ikaendelea CRDB BANK, instead of commercial rular development bank, na NMB vile Vile, siyo national microfinance Bank tena ni NMB bankAsante mkuu kwa kumwelimisha
ISANGA PEOPLES POWER na Reginald alinunua jina kwa hawa jamaa kwa £2MNdugu zangu msinicheke naomba mniambie waht does IPP stands for, nimeulizwa nimeshindwa kujibu!
Haichekeshi .ha ha ha ha ha ha, kwanza mambo vipi? mzima wewe ngoja nikupe kirefu cha ipp ila ucje angua cheko na ukazimia kwa masaa yasiozidi 5, kirefu cha IPP NI (INTERNATIONAL PUMBA PRODUCER)
:mod: THANKS.:dance:
BYE:A S 103:
Acha Umburula kijana...fuata unavyo ambiwa...!!Umepatia ila Hakuna Co operative bali Nadhani inatakiwa iwe Central.