Msaada: Namuomba mke wangu hela ya mtaji ananinyima

hujawai kumuuliza sababu ya kukunyima Mtaji
au nawew ulikuwa unambania ulipokuwa na kipato
sasa analipiza
 
Tatizo unaomba mtaji tu.mshawishi na jinsi hiyo biashara itakavyoingiza faida kubwa na umwambie jinsi utakavyowekeza zaidi kutokana na hiyo faida kutokana na network uliyokuwa nayo na jinsi utakavyomfanya awe CEO wa hiyo miradi,unakwama wapi?
 
Si atanifungulia kesi ya utakatishaji fedha?
Usije kufanya hivyo nilimuona dada yangu tumbo moja alikuwa na inshu kama ya hivyo alimpa mume hela akanunue tofali za kujengea nyumba yeye akaenda kuanzisha bucha ya nyama

,sister kaja kugundua kuwa hajanunua tofali na hela kapeleka kwingine alienda kulipot polisi jamaa wakaja kumkata mzima mzima

akafunguliwa kesi ya jinai KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU NA WAMEZAA WATOTO WAWILI !! YAANI KIDOGO ALE MVUA ....!! JAMAA BAADA YA KUTOLEWA NA NDUGU ZAKE MAHABUSU HAJAWAHI KURUDI MPK LEO...


KUWA MAKINI UTAPAONA PACHUNGU , SI KILA UNALOAMBIWA ULIFANYIE KAZI
 
Mwanamke huwa anakukukumbu sana, akikupa hela hasahau hata ipite miaka 40, atakumbuka siku, tarehe na muda aliokupa, utajuta.

kuna siku nimempa ya kwenda salon akanikumbusha na deni lake la 20k miaka kama miwili imepita nilimseti akajaza mafuta alipokuwa anataka kwenda, nikamjibu nitampa...akiwa na shida ukimwambia tumia yako ntakupa anasema nnakudai sikopeshi mtu, hapo shida ni yake...hela ya mwanamke ni ya mwanamke tuwaachievwafanyie wanayoyajua
 
Labda kwasababu sijakaa na mtu anayezitumia wala mimi sijawahi kuzitumia
Unataka nirefushe maelezo eeeh😂😂vhizo dondoo zilikuwa humu humu, hoping ni juzi, ushuhuda ulitolewa baada ya jamaa kushindwa ku perform akaombwa next match atumie energy ku boost.
 
Unataka nirefushe maelezo eeeh😂😂vhizo dondoo zilikuwa humu humu, hoping ni juzi, ushuhuda ulitolewa baada ya jamaa kushindwa ku perform akaombwa next match atumie energy ku boost.

Hata sijaona huo uzi
 
Back
Top Bottom