ha ha ha kumkaza sana inakuwaje?
Ningekua simkazi vizuri hata kileleni asingefika.Namkojoza daily
AiseeJamani wadau nauliza kuna mapenzi kweli hapo?
Mwezi sasa umepita, anachonijibu sina hela na kila siku tunahesabu hela nyingine huwa ananipa nazipeleka benki
Ushauri tafadhali......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwibie
😄😄😄😄😄😄 mambo ya kisenge kweli!!! Yani hapo hela itapotoka halafu biashara ikatae upige loss. Nyumbani utahama kwa masimango.Mwanamke huwa anakukukumbu sana, akikupa hela hasahau hata ipite miaka 40, atakumbuka siku, tarehe na muda aliokupa, utajuta.
IPO ivyo ukiwa n kazi ata ndugu wanakupend poteza ss uwone kila mtu chuki juu yk ata habari z misiba unakuwa w mwisho kuambiwa kama ndugu wanakuchukia mkeo je chukua tahazari mzeeAlinipenda nikiwa job saivi nipo jobless naona hanitaki kabisa.
ha ha ha ulishawahi kutoa mtaji?Lazima angetoa mtaji kama angemkaza sana
Kama ulikuwa unampa matunzo yote kama mkeo basi na yeye anawajibu wa kukupa matunzo yote kama mume we...... Nina maana pesa mapenzi nk... Kama leo hafanyi hivyo basi huyo siyo mke....chukuwa hatuwa haraka...Jamani wadau nauliza kuna mapenzi kweli hapo?
Mwezi sasa umepita, anachonijibu sina hela na kila siku tunahesabu hela nyingine huwa ananipa nazipeleka benki
Ushauri tafadhali......
😲😲😲😲😲😲Hapana hata sijui source ya mtaji wake alipata wapi,tulipendana tu.
Humkazi sana,trust me!
Hiyo kumtaja bibi mzaa babu yake anakujaza tu ili uonekane unajua kumbe ni bure kabisa
Mh!!!!! Ni wewe?Mkaze vizuri
Dah...!