Ha ha ha ha ha ha. Kwa kweli maana mwanaume kuomba mtaji kwa mke wako tena mpaka uje public kulalamika unastahili kukaa nyumbani upikie watoto
kaa nyumbani uwe baba wa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]