Lakini sio mchaga huyo?Namkaza sana tu..hadi anamtaja bibi mzaa babu yake..lakini wp,ukizungumza habari za hela tu anachange mind kabisa..
Lakini sio mchaga huyo?Namkaza sana tu..hadi anamtaja bibi mzaa babu yake..lakini wp,ukizungumza habari za hela tu anachange mind kabisa..
Hahahah ela ya mwanamke ni noma, yani kama huna namna ya kuirudisha usiishobokee!!!

Eti anataka tu hela bila hata kuifanyia kazi teh😀😀Mkaze vizuri
Eti anataka tu hela bila hata kuifanyia kazi teh😀😀
Pole sanakatokea kanda hiyohiyo