Msaada: Namuomba mke wangu hela ya mtaji ananinyima

Msaada: Namuomba mke wangu hela ya mtaji ananinyima

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mwanamke huwa anakukukumbu sana, akikupa hela hasahau hata ipite miaka 40, atakumbuka siku, tarehe na muda aliokupa, utajuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Usifanye kosa LA Adam kwa Hawa..... Simama kama mwanaume! Njoo utukope mwanaume wenzio sio wanawake! Acha ujinga na kutudhalilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mambo ya kisenge kweli!!! Yani hapo hela itapotoka halafu biashara ikatae upige loss. Nyumbani utahama kwa masimango.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Akinywa chai maneno, akikaa kwa sofa maneno, akigusa kitanda maneno, lazima azimie kama yule mkurugenzi wa jafo
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Akinywa chai maneno, akikaa kwa sofa maneno, akigusa kitanda maneno, lazima azimie kama yule mkurugenzi wa jafo
Hahahah ela ya mwanamke ni noma, yani kama huna namna ya kuirudisha usiishobokee!!!
 
Naona unaumiza zaidi.

Mwenziyo anatafuta mtaji wewe unammaliza zaidi.
Namtania tu,najua anajua namtania manake sijui huwa nakaza vipi

Halafu jana nimekutag kwenye uzi wa selfie....as usual hujaja,yaaaani kila nikijaribu kuwa romantic huji kwa wakati
 
Namtania tu,najua anajua namtania manake sijui huwa nakaza vipi

Halafu jana nimekutag kwenye uzi wa selfie....as usual hujaja,yaaaani kila nikijaribu kuwa romantic huji kwa wakati

Huwezi kuamini, sijaona notification yeyote.

Itabidi niweke app.
 
Mama zima kibatari tuongeze mafuta....
 
Ni hivi Hapo nyumbani baba ana laki 2 na mke ana laki 5. Hapo nyumbani jumla ya hela yote iliyopo ni laki 2 tu
 
Huwezi kuamini, sijaona notification yeyote.

Itabidi niweke app.

Nasikia APP ndio mbaya zaidi kwa upande wa notifications
Mie natumia browser na notification nilizoset ni mtu akinitag,quote ama like
 
Back
Top Bottom