Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,191
- Thread starter
- #21
We nenda tu moja kwa moja workshop kwao...pana ofisi hapo hapo wanaregister then wanaitengeneza, tatizo ni kuwa hizi warrant card zinakuwa za region fulani kama sikosei...kama uliinunua ulaya warrant inaweza ikawa not valid kwa region hii ya east africa(sina uhakika kama hili limebadilika)......ukitokea mwenge shuka na ile barabara inayokwenda cocacola then karibu na cocacola unafata ile bara bara kulia inayokwenda mikocheni B, then geti la pili kama sijakosea ndio ofisi zao zilipo...jamaa wako vizuri hakuna ubabaishaji, na nafikiri ndio only Authirized aget kwa hapa TZ
Nashukuru Mkuu ngoja sikukuu ipite nitaipeleka hapo.
Asante sana.
Tiba