Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

miriam 11

Member
Jan 19, 2017
29
17
Habari za wakati huu wanajukwaa naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unanikosesha haga
Asnteni sana
 
*Chukua pilipili isage changanya na mafuta ya moto na mafuta ya taa koroga ichanganye vizuri. Alafu pakaa matatizo yataisha mkuu
 
Dah we dada vipi. Hivo vidude kuna wanaume tunavipenda bana hata ile michirizi yan daaaa basi tu
 
Tafta mume atakaeridhka na wew kwan weusi siyo kasoro why unakuwa mtumwa hivo,utahangaika sana kuridhisha bnadam na hutoweza Abadan
 
Chukua viazi vile vya chipsi viblend upate uji mzito,then changanya na limao au ndimu.Apply wakati wa asubuhi na jion unaipaka kwa dk 10,then ikikauka unaanza kusugua kama unascrub kwa dk kadhaa ukimaliza nawa paka mafuta ya nazi.
Pia uwe unavaa skintight za cotton kupunguza msuguano wa mapaja.Tumia na makwapani kama una weusi...usisahau kutoa feedback after two weeks
 
Habari za wakat huu wanajukwaa....
Naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unankosesha raga
Asnteni sana
Namna sahihi ni kupunguza unene,kwani hata ukipata hiyo dawa ya kuondoa hiyo rangi, kwa jinsi yanavyoendelea kusuguana huo weusi utarudi tu..
 
Back
Top Bottom