Jinsi ya kumsaidia mtoto aliyeanza kujihusisha na ushoga!

Salaam wanaJukwaa!

Naomba kujuzwa ni namna gani waweza kumpa msaada mtoto mwenye umri kati ya miaka (14-17) aliyeanza kujihusisha na hayo mambo ya ushoga either anafanyia wenzake au anafanyiwa na wenzake, ili kumweka mbali na hivyo vitendo.

Natanguliza Shukrani.
Pole sana mkuu

Kwanza hakikisha unamtenganisha na hayo makundi aliyonao au marafiki

Kingine mpelekee hospital au kwa wataalam kwa kisaikolojia haraka sana kabla haijawa too late

Jitahidi sana mumpe malezi ya kiume, mfano kazi na kumtengenezea hata mazingira hata akiwa na manzi wake wa kumnyandua
 
Salaam wanaJukwaa!

Naomba kujuzwa ni namna gani waweza kumpa msaada mtoto mwenye umri kati ya miaka (14-17) aliyeanza kujihusisha na hayo mambo ya ushoga either anafanyia wenzake au anafanyiwa na wenzake, ili kumweka mbali na hivyo vitendo.

Natanguliza Shukrani.
Kwanza muhusika mwenyewe awe teyari kuwa muwazi na atoe ushirikiano la sivyo imeisha hiyo......anty is loading
 
Back
Top Bottom