Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

Kuchua mafuta ya Nazi yapake asubuhi when you go out na usiku ukienda kulala.

Au mafuta ya Vaseline + olive oil.

Au tumia spirit hii hii Dawa ya kidonda hii ipake then isugue taratibu halafu niache.

Then,acha kuvaa tight za mpira,then Fanya mazoezi upungue mwili. Maana hali hii inatukuta wenye miili a.k. vibonge.
That's all for today
 
Chukua viazi vile vya chipsi viblend upate uji mzito,then changanya na limao au ndimu.Apply wakati wa asubuhi na jion unaipaka kwa dk 10,then ikikauka unaanza kusugua kama unascrub kwa dk kadhaa ukimaliza nawa paka mafuta ya nazi.
Pia uwe unavaa skintight za cotton kupunguza msuguano wa mapaja.Tumia na makwapani kama una weusi...usisahau kutoa feedback after two weeks
wewe ulishafanya hivi
 
Tuwekee picha mkuu ...au muone daktar ila naye nilazima atalitazama paja ..


Maana izo spot zipo zaina mbali mbali na inasababishwa nasababu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom