Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Haujawa straight na hoja yako unaongea kwa uoga sana. Hebu kuwa specific unaona sawa au si sawa mtu kuwa attracted na same gender?!
 
Wewe unavutiwa na wanaume wenzako kimapenzi?!
 
Kwa mfano baba yako akempenda james delicious wewe ungepatikanaje kuja kutushauri na maneno ya kinafiki namna hii Mjaalaana mkubwa wewe?! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Hivi unahitaji kuwa mpumbavu kiasi gani kushindwa kuelewa kwann watu wanaingia katika mahusiano?!

So kama ikiwa hiyo ni sawa wewe ulipatikanaje ?!
 
Nimefuatilia hapa kuna hombwe (vacuum)tunaomba mwenye uelewa juu ya hili neno alifafanue Bisexual,Homosexual ili tujue maana mbili.
Homosexuals wanavutiwa na same sex au gender person kama mwanaume kuvutiwa kingono na mwanaume mwenzake, bisexual ina maanisha ni mtu anaevutiwa na both opposite na same sex person.
 
Pathetic
 
Umeongea vema na kwa busara sana mkuu.
 
Safi sana umenena vema
 
Ushauri mfuu kabisa
 
Ushoga ni against nature.

Ni sawa na kuchukua kijiko cha wali ukiweke matakoni ukitegemea kutoa haja kubwa kwa njia ya mdomo halafu ujitetee ndivyo ulivyoumbwa, unajisikia hivyo.
 
Ungetumia neno makuzi ningekuelewa ila sio maumbile au genes...... Hii kitu haina uhusiano na maumbile au genes.
 
Kwa tafiti ipi umetumia kusema hii ni biological case...?!
 
Hajasema kuwa yeye ni gay kasema ni bisexual. Jua hizi ni term mbili tofauti. Remember LGBTQ , unaona kuna G na B hapo!
 
Ukichambua historia za makabila mengine unaweza hata ukaomba tamaduni nyingine tusizifuate. Kuna makabila Afrika walikuwa wakiteka vijijini vya jirani wanachukua vijana wa kiume na kufanywa wake au zawadi wa wapiganaji.
Ume hypothesize hii habari au ni ukweli?! Kama ni kweli naomba unipe mifano isiyo pungua mitatu ya hizo jamii na ni wapi na lini?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuu. Anakwambia kuua ni kosa halafu anasema tufundishe watoto namna nzuri za kuua bila kugundulika na kuacha ushahidi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana umemuuuliza maswali very logical.
 
Matango pori!
Hakuna dawa ya ushoga, hii ni tabia kama tabia nyingine ukitaka unaendelea au unaacha, hakuna kidonge cha kuzima hamu za ngono!
Ni kama wale wezi wanoiba anakoswa koswa kuwawa kwa kipigo ila haachi anarudia.
 
Naweza nikawa ila ntaanza na wewe ili nikuweshe na hii dude ujue dada zako nawapaga nini halafu naacha ubisexual hapo hapo.
Sa unakasirika mimi kumpa ushauri mwenzako?

Ni lazima bisexuals muwe na hasira na mtamani kucontrol maoni ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…