Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Hili jambo limedharaulika kabisa kwenye jamii zetu... Yaani tumetoa uwezekano wa mtu kua na abnomalities zinazooelekea hizo hisia. Yaani hormonal imbalance is real jamani... Sio kua ndo tunachochea same sex stuff ila ndo hivyooo!
Ila sio kila hisia ni ya kuipa nafasi kama unataka kuishi kwa amani katika jamii.
Haujawa straight na hoja yako unaongea kwa uoga sana. Hebu kuwa specific unaona sawa au si sawa mtu kuwa attracted na same gender?!
 
Unachopaswa kuelewa, mapenzi ni zaidi ya kushika " VIDORE " / VIDOLE.

Huenda ana matamanio yasiyoelezeka kwa urahisi.

Wakati mwingine watu wanapata hisia za ajabu ajabu tu juu ya watu fulani.

Hajasema anawatamani hao wenzake afanye nao nini!!

Labda awabusu tu, ndivyo anavyopenda.
Wewe unavutiwa na wanaume wenzako kimapenzi?!
 
Nchi za watu weupe, sio tu kwamba wanatoa nafasi kwa watu kufanya mapenzi wanayotaka, ila kwa sababu kuna umuhimu wa kufanya hivyo.

Ni nchi za watu wenye bongo butu tu ndio wanadhani kwamba wanauwezo wa kupangia nani ampende nani na nani asimpende nani.

Ni utani wa hali ya juu kupanga na kupangua hisia za watu.

Ni hatua kukubali na kuelewa kuwa kuna watu wanawatamani watu wa jinsia zao, huenda bado tuko kwenye stagnant stages za ubongo kuweza kuelewa hilo.

We will get to understand it along the way!
Kwa mfano baba yako akempenda james delicious wewe ungepatikanaje kuja kutushauri na maneno ya kinafiki namna hii Mjaalaana mkubwa wewe?!

Hivi unahitaji kuwa mpumbavu kiasi gani kushindwa kuelewa kwann watu wanaingia katika mahusiano?!

So kama ikiwa hiyo ni sawa wewe ulipatikanaje ?!
 
Nimefuatilia hapa kuna hombwe (vacuum)tunaomba mwenye uelewa juu ya hili neno alifafanue Bisexual,Homosexual ili tujue maana mbili.
Homosexuals wanavutiwa na same sex au gender person kama mwanaume kuvutiwa kingono na mwanaume mwenzake, bisexual ina maanisha ni mtu anaevutiwa na both opposite na same sex person.
 
Ishi maisha yako to the fullest ila hakikisha hauvunji sheria za nchi uliyopo, kwa Tanzania mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria hivyo utakua comfortable kama utaenda nchi ambayo wanasapoti haki za LGBT.

Kama unaamua kuomba ushauri pendelea kwenda kwenye mitandao ambayo hutoa suluhisho na mafundisho kwa watu wenye hali kama hii, kwenye mitandao huambatana na cyber bullying haswa kama umepeleka swala lako mahala ambapo hawana utamaduni huo.
Pathetic
 
Kutamani uwe una nywea chai au maji puani ni ugonjwa ingawa inawezekana. Hiyo ni sawasawa kutamani kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (anus) pia hii inawezekana na inafanyika kila siku lakini sio sawa kiafya na kimaadili(kwa maana ya kuwa tukiendekeza hii tutaathiri balance ya reproduction system:- Tunahitaji MWANAUME na MWANAMKE ili tuzalishe wanadamu wapya kwa njia ya asili).

Ugonjwa si lazima kuhisi maumivu kama ya kichwa au tumbo, ugonjwa hasa wa kiakili/kisaikolojia ni pamoja na kutamani kutenda yasiyo kawaida na yeye madhara hasa kwa wenzio waliokuzunguka au wewe mwenye.

Kumfumua marinda mwenzio sio nzuri kiafya na inajulikana hivyo kwa karne nyingi hata hizo ambazo sasa wanaruhusu waziwazi. Wewe halalisha hilo tendo lakini asili (nature) na sayansi vinajipambanua lile tendo sio sawasawa.
Umeongea vema na kwa busara sana mkuu.
 
Mh pengine kweli watu wanaufaham mdogo kuhusu jinsia na ujinsia ila hivyo vitu sio nature na kumbuka nature always wine ndio sababu hata aliyetunga usawa kwa mwanamke na watoto pia moyoni ninahakika hakubali hilo. Sikia hy sio hari ya kawaida wala usimdanganye na kumtukana pia sio sawa tunapaswa kumsaidia hay n mambo yanayokuja sasa na sio tamaduni zet afrika kama wewe unaona tamaduni ya marekani ni bora kuliko ulipozaliwa basi pia unamatatiz ya kuto jitambua na usijalib kufundisha watoto wetu upuuz huo bana wenzio wameweka ndoa za jinsia moja ili kupunguz watu dunia wanamini dunia inakufa na wanayoiua n binadamu hata we pia kajielimishe zaidi
Safi sana umenena vema
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

I think you are beautiful. Kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Ushauri mfuu kabisa
 
Ushoga ni against nature.

Ni sawa na kuchukua kijiko cha wali ukiweke matakoni ukitegemea kutoa haja kubwa kwa njia ya mdomo halafu ujitetee ndivyo ulivyoumbwa, unajisikia hivyo.
 
Akaombewe wakati makanisani kuna kesi malaki ya mapadri na wachungaji ambao wapo kama yeye na walijitahidi kuficha ikashindikana? Mala ngapi tumeskia shekh ka--- wanafunzi wake na wanakamatwa? Ulaya waliua sana watu kama hawa na Hitler ndo alikuwa kiboko lakini wameshagundua kuwa mtu haamui ila ni genes zinazoamua. Kama akiweza kuzicontrol anaweza akaishi kiseja au akawa na mpenzi wa jinsia tofauti ila haitadumu. Watu waliokaa nje naomba muwe mnajaribu kuwaelewesha watu kuwa haya ni maumbile. Sisi huku kwetu hasa Tanzania tunajifanya ni laana wakati tuna misamiati kabisa ya jinsia hizo. Muulize msukuma kama ana jina la kisukuma la mtu wa aina hiyo au mhaya. Pwani wamekuwa na genes corruptions kwa muda mrefu ndo maana wana majina ya watu hao.
Ungetumia neno makuzi ningekuelewa ila sio maumbile au genes...... Hii kitu haina uhusiano na maumbile au genes.
 
tumejenga mazoea ya kulaumu kila kitu!
nawaza mtu mpk anaamua kuandika hapa!
ameshahangaika kiasi gani?
CASES ZA MAPACHA WALIOUNGANA VIUNGO ,KAMA HIZO ZIPO
KWANINI TUNAKTAA KUWA KUNA WATU NI MTU MMOJA LAKINI VILICHANGANYANA VYA WATU WAWILI!

huu ni ulemavu!
SITETEI USHOGA!
lakini WAT IF HUYU NI MIONGONI MWA BIOLOGICAL DEFORMATIONS ZINAZOWEZA KABISA KUELEZEKA?
Kwa tafiti ipi umetumia kusema hii ni biological case...?!
 
Wewe ni mwalimu kwa nilivyokusoma,nimependa sana ustaarabu wako ktk kushauri juu ya swala hii...umeonyesha jinsi ulivyo na upeo mkubwa. Unajaribu kuielewa Dunia na sio mwepesi ya kuhukumu ama hupendi kabisa...Big up naamini unatufundishia vizuri sana watoto wetu.

Kuja kwenye mada,kwaulewa wangu neno bisexual linamaanisha mtu/kiumbe kuwa na jinsia mbili yaaani ya kike na ya kiume,sasa kwa maelezo ya mdau yeye sio bisexual kwani ameshasema yeye ni male.Kwa ufahamu wangu andalili za kutaka kuwa Gay.Kwakawaida ma gay wapo wa aina mbili,kuna gay wa juu na gay wa chini. Gay wa juu yeye hupendelea sana kuwafanya wanaume wenzake..mfiraji.gay wa chini yeye hupendelea sana kufnywa na wanaume wenzake hawa ni kama kina james delicious et al. Kwa muono wangu mdau huyo anaelekea kuwa gay asipopambana ku control hisia zake.

wapo ma gay wenye familia zao na wanatoa dozi kwa wake zao vizuri tu lakini na wao wanapakuliwa huko nje .

USHAURI WANGU KWAKO MKUU NENDA KWA MADAKTARI WA TIBA YA AKILI WAKUPE MUONGOZO JUU YA KUTOKA HAPO ULIPO UKIPUUZA UTAJIKUTA KTK IRREVERSIBLE STATE NA UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE.
Hajasema kuwa yeye ni gay kasema ni bisexual. Jua hizi ni term mbili tofauti. Remember LGBTQ , unaona kuna G na B hapo!
 
Ukichambua historia za makabila mengine unaweza hata ukaomba tamaduni nyingine tusizifuate. Kuna makabila Afrika walikuwa wakiteka vijijini vya jirani wanachukua vijana wa kiume na kufanywa wake au zawadi wa wapiganaji.
Ume hypothesize hii habari au ni ukweli?! Kama ni kweli naomba unipe mifano isiyo pungua mitatu ya hizo jamii na ni wapi na lini?!
 
Umekosea maandishi au ndio usahihi wewe unanwambia mwenzako yuko sahihi kufuata hisia, lkn unaandika kuwa tuwafundishe watu kuhusu abnormalities za kwenye jinsia za watu.
Sasa abnormalities siku zote ni kitu undesired how comes leo tuwafunze watu kukubali kuwa abnormal?

Sexuality kufundishwa secondary schools unataka zimsaidiaje mwanafunzi?
kabisa mkuu. Anakwambia kuua ni kosa halafu anasema tufundishe watoto namna nzuri za kuua bila kugundulika na kuacha ushahidi.
 
Acha kutengeneza theories zako za kujihalalishia kuliwa tigo. It is ok kuwa na hisia lkn you need to control.
Nakuambia kwa wanaume straight huwa anapata hamu ya kupiga game na most of girls anaokutana nao, so ikiwa kila hisia ifuatwe order itatokea wapi?
It is ok kwako na jamaa yako kukubali kuliwa Ila that cant make the act kuwa ni normal.
What about risk za magonjwa mnayoambukizana, what about kupanuka tigo na kuishi kwa nsaada wa pampers? Why ukiliwa then uanze ku act kama demu? If it is ok kuliwa then dont act odd, mnakuwa in btn male and female!
I am not homiphobic Ila kiukweli kutiwa sio normal ni tatizo kwa anayeona hawezi kubadilika na aendelee lkn sio normal. Shida yangu ni ku-normalize kitu ambacho sio normal kwako inaweza kuwa ok, lkn nasisitiza hiyo sio normal.

By the way paedophilic pia huwa wanavutiwa na watoto na huwa hawawezi kuvumilia hisia zao, je nao waachwe na hisia zao ziheshimiwe? Wapo watu wanapenda kubaka au kuumiza wenzao kwenye ngono, nao hisia zao ziwe normalized?
Safi sana umemuuuliza maswali very logical.
 
Matango pori!
Hakuna dawa ya ushoga, hii ni tabia kama tabia nyingine ukitaka unaendelea au unaacha, hakuna kidonge cha kuzima hamu za ngono!
Ni kama wale wezi wanoiba anakoswa koswa kuwawa kwa kipigo ila haachi anarudia.
 
Naweza nikawa ila ntaanza na wewe ili nikuweshe na hii dude ujue dada zako nawapaga nini halafu naacha ubisexual hapo hapo.
Sa unakasirika mimi kumpa ushauri mwenzako?

Ni lazima bisexuals muwe na hasira na mtamani kucontrol maoni ya watu?
 
Back
Top Bottom