Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Kwanza pole sana. Pili kama hiyo picha hapo kwenye avatar inaendana na wewe (ya kwako) au umevutiwa na pozi la huyo kijana basi naomba uanze kubadilika hapahapa! Ujasiri hujengewi, ujasiri unajijengea mwenyewe. Anza kwanza kutoa hiyo picha weka picha zenye staha ya kiume. Kama unapenda pozi hizo jenga kwanza ujasiri wa kuachana nazo.

Lingine nimeona kuwa wewe hasa unatamani ushoga. Hiyo inatokana na hisia nyingi ulizojijengea juu ya jambo hilo. Najua hutaweza kusema ila pengine unaangalia video za aina hiyo. Acha hilo pia.... Baada ya hapo sali na jiamini...... Maumivu yakiendelea baada ya hapo basi muone daktari kwa kuwa utakuwa umeathiriwa na mfumo ila kwa sasa mimi naona umetekwa zaidi na hisia. Usiziendekeze, anza na hiyo avatar sasa!
ok thanks
 
Nenda kwa ngwajima mapema...

Otherwise iko siku utaamka umekuwa jinsia kinzani
 
Pole Sana usiikubali io hali kafanye medical check up kuna shida ktka mfumo wako wa hormoni pia waone wanasaikolojia
 
Pole Sana usiikubali io hali kafanye medical check up kuna shida ktka mfumo wako wa hormoni pia waone wanasaikolojia
hivi naweza kupata dawa za kuongeza hormone za kiume mkuu???nipo arusha
 
hivi naweza kupata dawa za kuongeza hormone za kiume mkuu???nipo arusha
Kwahy Mkuu unataka Sawa za kuongeza homon za kiume,je Kati ya homon za kiume na zakikee zipi zinakutesa?Yani kama nizakike unataman kutiwa?au kutia?
 
Uzi uliopita ulisema unatabia za kike..sasa hapo kwenye kutamani wanaume wenzio ni kwenye kugegeda au kugegedwa?
 
NASHUKURUNI SANA NYOTE MLIONISHAURI
MUNGU AWABARIKI SANA
KUNA WATU WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA BISEXUAL NA GAY
YOU CAN BE GENTLEMEN BT UKAWA UNA FAVOUR BOTH SEX
USHAURI WENU UMENIJENGA KIAKILI NA KIMAADILI NA NITAUFANYIA KAZI
Prayer can change a mountain Brother,Muombe Mungu akusaidie na usikubali kulala na mwanume mwenzako.
 
Mkuu maendeleo yako yapo vipi hadi sasa?

Pole sana wapo watu wanabeza hapa bila kujua utofauti na vichocheo vya hizi hali.

Kwa haraka haraka nadhani umewahi kukutana na unyanyasaji utotoni au umewahi kuwa exposed kwenye mazingira ya namna hiyo. Na hilo ndio limekusababishia iyo hali.

ila believe me wewe ni straight kabisa ila ni unatafuta kuprove vitu fulani fulani kuhusu manhood mbaya ni kuwa unataka mtu akuingilie ili uprove manhood ilivyo na uexperience kabisa. Haya mambo magumu ila wote ndio tujifunze hapa.

Kwa hiyo mkuu WARNING, usijaribu kabisa kuingiliwa itakuharibu kabisa maana utakuwa exposed kwenye kitu utakachoona kinakupa relaxation na hali yakuona kama umetimia kwa hito utaitafuta hito hali tena na tena mwishowe ndio utakuwa "mchicha mwiba"

Chakufanya, tafuta mwanamke ambaye labda kwao yeye pekee ndio wakike yaani ana kaka zake au mwanamke aliye active sana kwenye sex hawa wataweza kukurudisha kwenye hali ya kawaida ukaisahau hiyo desire ya kutaka kuiona manhood ilivyo.

Ni hayo tu mkuu.
 
Back
Top Bottom