Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

Kweli Binadamu tuko tofauti kabisaaaa!!! Mimi richa ya kuwa kauzu na kipondo juu!! tena kile cha Mbwa mwizi lkn ndo kwaaanza Mademu wananifuata na kunihonga juu!!

Kama huyu Joyce kagombana na Mumewe usiku akatoroka kwake akaniletea Maku mazimaaa!!! nikala wee!! akalala kwangu siku 7 nabweda tu! na hela kiduchu jamani nyie wanawake pwiii!
 
Wewe ni mchawi nini? Umeiba nyota ya mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitu vinakuja automatically we jipe mda

Nilikuwa mpiga chabo maarufu sahiv najaza mabasi kumi ya air force one
 
Usipokuwa romantic kama mimi utakuwa ni vigumu kutimiza hata anniversary moja na mpenzi wako. Mimi situmii nguvu wala ushawishi kutongoza, ninaonekana nina jeuri na ubabe ingawa sijioni, siwezi kuwa na multiple relationships na sijui sana kubembeleza. Mimi kutext mtu mara tatu tofauti na asijibu inaweza nifanya nifute namba yake kabisa.

Kwa hali hii siwezi date na mtu muda mrefu. Nafanya kimasihara au fuckmates basi ila mapenzi nishaambiwa siko nayo serious. Natongoza mtu leo kwa sentensi mbili, narudi kwake mwezi ujao. Niko hopeless
Ww ni mimi kabisa😂😂😂
 
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.

Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.

Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.

Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele nifanyeje?
Usilazimishe mapenzi, ndiyo kwanza una miaka 20 tu na uzuri si mwanamke hivyo hauna stress za kutafuta midume lukuki ikuweke mjini. Pambana na maisha yako kwa sasa.
 
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.

Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.

Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.

Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele nifanyeje?
Ukiendelea kulia lia bila kutafta hela ndoto yako itatimia 😂😂😂
 
Hivi vitu vinakuja automatically we jipe mda

Nilikuwa mpiga chabo maarufu sahiv najaza mabasi kumi ya air force one
Usimdanganye Mwenzio anazidi kuzeeka wewe!!! mda ni sasa umri ndo huu!!! unatakiwa wewe utafutwe popote wasilale wao!! au huna pesa?? nunua japo Beatle la zamani!! uwajaze humo!! utazikimbia nakwambia!!

Ndude hizi za ajabu sana yaani ukipiga mmoja tu haoooooooo wanaunga tela duu!!!!!
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom