Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

Thubutuuu.... samsung ni samsung hata iwe ya laki mbili, unapata software kaliii, kitu laini kama maini
Ila hizi Samsung za laki 2 software yake sio nzuri kihivyo. Ile ni One UI Core sio pure kama ya kwenye A35
Tumeangalia Samsung A04, hata screen mirroring (cast) hakuna
Kwenye Samsung inaitwa Smart View
 
Umeacha kuwasifia wale wachina wa chiomi siku hizi?
 
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.

Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.

Nawezaje kujua simu fake na Original?.

Nina 550k
Kabla ya kununua

Andika

X#0*#

Ukiona zimeandikwa aina za rangi kwa juu blue red green bonyexa green screen itakuwa green HAPO umepata origin
 
X#0*# iyo X mbn ham haielewek namb ya kuiwek pale
 
Kabla ya kununua

Andika

X#0*#

Ukiona zimeandikwa aina za rangi kwa juu blue red green bonyexa green screen itakuwa green HAPO umepata origin
Asante sana mkuu
 
Kabla ya kununua

Andika

X#0*#

Ukiona zimeandikwa aina za rangi kwa juu blue red green bonyexa green screen itakuwa green HAPO umepata origin
Nikitaka kuangalia imetengezwa nchi gan unafanyaje mkuu
 
mkuu kila la kheri, tuishie hapa. Maana siwezi kuupigia mlima Ngoma.
hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,

kuna jamaa yangu ni mnazi wa samsung,, ila sasa namuona kama msumbufu, kila nikimfosia S series na N series, anaruka ruka tu ohh mara bei kubwa, nikamwambia ok chukua basi A series 😁,, napo anaruka ruka tu, kuna watu wanapenda vitu vikali ila sasa bahili kishenz. android anayefanya vzuri ni samsung, japokuwa mie ni mnazi wa kutupwa wa sony xperia i - vii 🙌
 
Hizi hapa ni Samsung secret codes (hidden menus) kamili ambazo unaweza kuandika au kuhifadhi. Zimepangiliwa vizuri kwa matumizi rahisi:

---

Samsung Secret Codes (Hidden Menus)

1. Hardware Test Menu

#0# — Fungua hardware test mode (screen, sensor, vibration, nk.)

2. IMEI Information

*#06# — Onesha IMEI, Serial Number, na eSIM (kama inapatikana)

3. Battery Status

*#0228# — Battery info (voltage, level, temp, charging)

4. Service Mode (Network Info)

*#0011# — Signal strength, LTE band, network status

5. Firmware Version

*#1234# — Version za firmware (PDA, CSC, Modem)

6. Wi-Fi Test Menu

*#526# — Wi-Fi test logs (scan, MAC info)

*#528# — Wi-Fi engineering mode

7. Sensor Diagnostics

*#77692# — Inatoa taarifa ya sensors zote (accelerometer, light, proximity, nk.)

8. USB Settings Menu

*#0808# — Chagua USB mode (MTP, ADB, charging, DM+ACM+ADB)

9. OTA Software Update

*#8736364# — Angalia updates manually (OTA)

10. Factory Reset Menus

##7780## — Soft reset (futa apps na settings, hifadhi firmware)

*2767*3855# — Hard reset (futa kila kitu — tahadhari!)

11. Bluetooth Test

*#232331# — Bluetooth test mode

12. Audio/Speaker Test

*#0289# — Melody/Speaker test

*#0673# — Audio test

13. LCD Display Test

##3424## — Test ya display na touch sensitivity (kama inaruhusiwa)

14. GPS Test

*#1575# — GPS Settings and Test

*#1472365# — GPS Test mode

15. Touchscreen Version

*#2663# — Touchscreen firmware version

16. Light & Proximity Sensor

*#0589# — Light sensor test

*#0588# — Proximity sensor test

---

Vidokezo Muhimu:

Hakikisha simu yako ni Samsung halisi — simu feki nyingi hazina support ya hizi codes.

Codes zingine zinaweza zisifanye kazi kutokana na toleo la Android au kufungwa na mtengenezaji.

Epuka kutumia reset codes bila backup.

---
 
hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,

kuna jamaa yangu ni mnazi wa samsung,, ila sasa namuona kama msumbufu, kila nikimfosia S series na N series, anaruka ruka tu ohh mara bei kubwa, nikamwambia ok chukua basi A series 😁,, napo anaruka ruka tu, kuna watu wanapenda vitu vikali ila sasa bahili kishenz. android anayefanya vzuri ni samsung, japokuwa mie ni mnazi wa kutupwa wa sony xperia i - vii 🙌
Hivi mkuu umewahi kuona duka linalouza Samsung Galaxy Note 10 mpya full box 2025?
 
hapo kila mtu atumie kitu roho inapenda,

kuna jamaa yangu ni mnazi wa samsung,, ila sasa namuona kama msumbufu, kila nikimfosia S series na N series, anaruka ruka tu ohh mara bei kubwa, nikamwambia ok chukua basi A series 😁,, napo anaruka ruka tu, kuna watu wanapenda vitu vikali ila sasa bahili kishenz. android anayefanya vzuri ni samsung, japokuwa mie ni mnazi wa kutupwa wa sony xperia i - vii 🙌
Huawei nayo ni chuma na nusu, nili mkuta mdada fulani anayo ni 🔥 🔥.

Ubahili kaka hata mimi ninao Sana😂
 
chuma ziko nyingi tu, ni wewe na budget yako,, na unapenda nini, lakin pia kingine ni kama ulevi vile kuna watu wana pesa lakin wanatumia simu za kawaida kabisa, ye muhimu kwa phone umuwekee facebook na whatsup tu, mambo ya Ram haelewi😆, ila sasa sie tunavoangaika.
 
Naam mchawi mtonyo, namjua mtu ana tumia s24 oya hiyo s22 ni ardhi na mbingu
 
Back
Top Bottom