Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,599
Hizo ulizozitaja inawafaa wapanda vieite ila sio sisiNote na s ndio konki, hizo a kila Mwaka wana leta uchafu tu
Hizo ulizozitaja inawafaa wapanda vieite ila sio sisiNote na s ndio konki, hizo a kila Mwaka wana leta uchafu tu
Kwa jina lingine inaitwa "Xiaomi Redmi 13C"Reuben Challe Xiaomi poco c65 RAM 6 + 256GB ROM zina shilingi ngapi kwa sasa bongo?.
Perfomance yake ikoje mkuu?Kwa jina lingine inaitwa "Xiaomi Redmi 13C"
Hiyo bei inapaswa kuwa laki 2 na nusu.
Hata ukiwa ya 256GB bei yake ni around 270K
Ni low end. Ni simu ya kawaida sana. Haiko tofauti sana na simu nyingine za bei hiyoPerfomance yake ikoje mkuu?
Note 10 shingapHizo a 30 sijui 35 ni za nyuma Sana, tafuta note 10 iko ugwadu kinyama mkuu.
Sim inauzwaje sumsang A35Samsung Galaxy A35 5G ina faida na hasara zifuatazo:
✅ Faida:
1. Kioo cha ubora wa juu – 6.6" Super AMOLED, 120Hz refresh rate, huonyesha rangi vizuri sana.
2. Muundo wa kisasa na thabiti – Imetengenezwa kwa ulinzi wa IP67 dhidi ya maji na vumbi.
3. Kamera nzuri kwa daraja la kati – Kamera kuu ya 50MP hutoa picha nzuri hasa kwenye mwanga wa kutosha.
4. Betri imara – 5000mAh inakaa muda mrefu kwa matumizi ya kawaida.
5. Samsung Knox Vault – Usalama wa hali ya juu kwa data zako.
6. Maboresho ya muda mrefu – Miaka 4 ya masasisho ya mfumo na miaka 5 ya usalama.
7. 5G support – Tayari kwa kasi ya mtandao wa kisasa.
---
❌ Hasara:
1. Processor ya kati (Exynos 1380) – Hufanya vizuri kwa matumizi ya kawaida lakini si kwa gaming nzito au kazi nzito.
2. Fast charging si ya haraka sana – 25W ni polepole ukilinganisha na simu nyingine.
3. Haina charger kwenye boksi – Lazima ununue tofauti.
4. Matumizi ya plastiki – Kava la nyuma halijengwi kwa chuma au kioo cha gharama.
5. Bloatware – Programu zisizohitajika huathiri nafasi ya kuhifadhi na kasi ya simu.
Kwa ujumla, A35 ni chaguo zuri kwa anayetaka simu ya kati yenye ubora mzuri, usalama wa kisasa, na muonekano wa ku
🤣🤣🤣🤣Sina hayo mambo mimi
Nikienda kariakoo naweza kuipata?.Ni low end. Ni simu ya kawaida sana. Haiko tofauti sana na simu nyingine za bei hiyo
Kamera yake pia ni ya kawaida sana. Inatunza chaji, design nzuri, kwa bei yake kioo ni kizuri pia ila nothing too shocking
A04, A04e, A05, A05S na A06 sijui ni kwanini wakopeshaji wamezilenga hizi.Kuna samsungu moja hivi imekua kama sare ya mji wanaokopesha ndio wanaiuza sana kwa wakopaji wa simu sijui kwanini
Mkuu Xiaomi ya bei sawa na samsung A35 inakuwa na sifa gani za ziada ukilinganisha na samsung?Ni low end. Ni simu ya kawaida sana. Haiko tofauti sana na simu nyingine za bei hiyo
Kamera yake pia ni ya kawaida sana. Inatunza chaji, design nzuri, kwa bei yake kioo ni kizuri pia ila nothing too shocking
Nimemnunulia Mama yangu A16 5G anasema mpaka anasahau kuna kuchaji simu maana kwake mpaka wiki inakaa.....A series hutajilaumu. Charge yake inakaa siku mbili.
A inatengenezwa na third parties sio Samsung wenyewe, nikama infinix zilizochangamkaNote na s ndio konki, hizo a kila Mwaka wana leta uchafu tu
Redmi Note 14 Pro 5G ndio bei sawa na hiyo Galaxy A35Mkuu Xiaomi ya bei sawa na samsung A35 inakuwa na sifa gani za ziada ukilinganisha na samsung?
Sijui nihamie REDMI nitest na huko maana nimetumia Samsung muda mrefu.Hivi hazina mambo ya kustack?Redmi Note 14 Pro 5G ndio bei sawa na hiyo Galaxy A35
Kwa hapa Mbeya, duka la Mtawa Enterprises inauzwa laki 7 kwa version ya 8GB RAM 256GB ROM
*Ina kamera nzuri kuliko A35 overall
*Inachaji faster kuliko A35 (45W vs 25W)
*Inakuja na IR Blaster (A35 haina)
*Inakuja na Reverse Charging feature (A35 haina)
*Ina kioo kizuri zaidi ya A35, kina mwanga angavu zaidi juani kuliko A35 (1138nits vs 1020nits) ni cheusi na kiko sharp kuliko cha A35 huku pixel density yake ikiwa 446ppi (Galaxy A35 ina 390ppi)
*Ina Bluetooth version mpya zaidi (v5.4 Vs v5.3)
*Kioo cha Redmi Note 14Pro kina Dolby Vision na protection ya juu kuliko A35 namaanisha glass ya juu kabisa kwenye kioo. Hii Redmi ina Gorilla Glass Victus 2 wakati A35 ina Gorilla Glass Victus tu ya kawaida yani ya version ya kwanza
*Frame ya Redmi Note 14 Pro 5G imetengenezwa na metal, ila ya kwenye A35 ni plastic
*Processor ya Redmi Note 14 Pro 5G ni nzuri (4nm) kuliko ya kwenye A35 (5nm) ingawa utofauti sio mkubwa
*Battery ya Redmi Note 14 Pro ni Lithium Polymer (Li-Po), ni nzuri kuliko Lithium-Ion battery ya kwenye A35 (Li-I)
*Kwenye boksi la Redmi Note 14 Pro 5G unakuta charger, kwenye A35 hukuti inabidi ununue mwenyewe
Na overall Redmi Note 14 Pro 5G ni simu nzuri kuliko Samsung Galaxy A35
Nashukuru sana mkuu Reuben ChalleRedmi Note 14 Pro 5G ndio bei sawa na hiyo Galaxy A35

Kuna njia mbalimbali za kujua kama Xiaomi yako ni fake au originalNashukuru sana mkuu Reuben Challe
Lengo langu ni kuinunua Xiaomi (Redmi Note 14 Pro) baada ya kunishawishi kama hivi.
Naomba nijue pia namna ya kuithibitisha kuwa sio fake ili nisisumbuke sana kuzunguka maduka na kutafuta huruma ya wauzaji ambao wengi sio wakweli. Ningekuwa Mbeya ningekuja kwenye duka tajwa ila kwa sasa niko Dar.
Natanguliza shukrani mkuu.
Hapana. Redmi zipo faster, hazistack ovyoSijui nihamie REDMI nitest na huko maana nimetumia Samsung muda mrefu.Hivi hazina mambo ya kustack?