Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

Hamna mimi siuzi simu
Redmi zipo nyingi Kariakoo kama unazitaka, unaingia unatafuta maduka. Cha msingi kama unajua Redmi Note 14 Pro ya laki 7 ina 256GB hakikisha ukikuta duka bei yake imezidi hapo usinunue

Ila mimi sina duka la simu boss
HAbari mkuu, mimi ninataka kuchukua Redmi safari hii.
Pesa niliyonayo ni 550K
Aina gani ya Redmi una suggest ni nzuri kwa hela hiyo.
 
Yaan tumekariri sana kua simu ni hizo nrand mbili tu ila tuliofungua akili zaman tunainjoi sana kuna jiwe jingine japo sio flagship ila linafaa sana na pesa yako inabaki, ni oppo k12plus chukua chuma ingine ya kwenda hio agiza online ni almost yuan 1100 haifiki hata laki 5uinjoi maisha mazuri kijana Reuben Challe hebu nisaidie kuichambua oppo k12plus plz
 
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.

Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.

Nawezaje kujua simu fake na Original?.

Nina 550k
Budget ndogo, Apo ni A15 5G, uta enjoy sema sio ivooo.. 'A' anza na 25, 34, 35, 54 & 55
 
Nataka nichukue Xiaomi 15T, inaonekana ni balaa sana 🔥🔥🔥🔥🔥 bei ya 1.4m vp wadau ndo bei elekezi au nimeongezewa 0
 
Back
Top Bottom