ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,568
- 7,040
- Thread starter
- #81
Hapana. Redmi zipo faster, hazistack ovyo
Cha msingi nunua Redmi nzuri, maana Redmi zipo hadi za chini kama "Redmi A5" ambazo sio nzuri
Yani kwa Samsung ni kama vile uende kununua "Samsung Galaxy A03 Core", hauta enjoy uzuri wa Samsung: ndio kama hiyo Redmi A5
Ulete mrejesho bossNashukuru sana mkuu Reuben Challe
Lengo langu ni kuinunua Xiaomi (Redmi Note 14 Pro) baada ya kunishawishi kama hivi.
Naomba nijue pia namna ya kuithibitisha kuwa sio fake ili nisisumbuke sana kuzunguka maduka na kutafuta huruma ya wauzaji ambao wengi sio wakweli. Ningekuwa Mbeya ningekuja kwenye duka tajwa ila kwa sasa niko Dar.
Natanguliza shukrani mkuu.