jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,667
- 12,094
Thubutuuu.... samsung ni samsung hata iwe ya laki mbili, unapata software kaliii, kitu laini kama mainiHuku mtaani kuna imani kuwa Samsung A series ni infinix au tecno. Tofauti ni brand.
Thubutuuu.... samsung ni samsung hata iwe ya laki mbili, unapata software kaliii, kitu laini kama mainiHuku mtaani kuna imani kuwa Samsung A series ni infinix au tecno. Tofauti ni brand.
Samsung wana madaraja matatu ya smartphones.A series hutajilaumu. Charge yake inakaa siku mbili.
Samsung Galaxy Note 10 ilizinduliwa mwaka 2019 ikiwa kama simu ya daraja la juu (flagship), na bado ina ubora mzuri kwa matumizi ya kawaida. Sifa na ubora wake ni kama ifuatavyo:Hizo a 30 sijui 35 ni za nyuma Sana, tafuta note 10 iko ugwadu kinyama mkuu.
Yenye hadhiSamsung wana madaraja matatu ya smartphones.
1. Flagship(high end)
2. Middle class
3. Low class.
Walilenga kuwafikia wateja wote.
Unapochagua aina ya samsung unachagua pia hadhi yako hapo hapo!
Kwa bahati mbaya za daraja A zina sifa kem kem lakin zinakula betri sana.
mf imetajwa A series ya daraja C kukaa na chaji sana.
Sasa jiulize unapenda samsung ilimrad brand au yenye hadhi?
Samsung Galaxy A35 imetoka March, 2024Hizo a 30 sijui 35 ni za nyuma Sana, tafuta note 10 iko ugwadu kinyama mkuu.
Tafuta Samsung A35.Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
😆😆 Inauzwa milioni 2+ hiyo hela ibetie upate milioni mbili ukanunueInauzwa laki sita?from Dubai au wapi?
Tafuta Samsung A35.
N simu bora na nzur
I
Samsung Galaxy A35 5G ina faida na hasara zifuatazo:Tafuta Samsung A35.
N simu bora na nzur
I
🤣🤣🤣🤣Sina hayo mambo mimi😆😆 Inauzwa milioni 2+ hiyo hela ibetie upate milioni mbili ukanunue
Tofauti sio brand. Software ya Samsung A series huwezi fananisha na ya Tecno au Infinix, plus zinapokea update hadi miaka 5, na kuna A36 na A56 zenyewe zinapokea updates hadi 7 years tofauti na Tecno ambazo zenyewe zinapata update miaka 2, ikizidi sana miaka 3Huku mtaani kuna imani kuwa Samsung A series ni infinix au tecno. Tofauti ni brand.
Mchawi hela kwa hiyo budget yake hawezi kupata note 10Hizo a 30 sijui 35 ni za nyuma Sana, tafuta note 10 iko ugwadu kinyama mkuu.
SAMSUNG KOREA NDIYO ORIGINAL, Ila itabidi hicho kiwanda kibaki hukohuko ili kisipoteze hadhi yake.Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
Unapata Note 10 kwa laki 4 na nusu ila ni USEDMchawi hela kwa hiyo budget yake hawezi kupata note 10
Ni kweli, lakini mtoa mada kasema anataka mpya.Unapata Note 10 kwa laki 4 na nusu ila ni USED
Mpya kupata ni ngumu, Note 10 ishakuwa simu ya zamani
Yah hizo unapata mpya full box, Zinatoka South KoreaAsante sana.Hii full box?Inatoka Nchi gani?
Ko una taka ubishane kuwa hiyo a yako ni more performing than note 10 nafwaa🤔.Samsung Galaxy A35 imetoka March, 2024
Hiyo Samsung Galaxy Note 10 ni ya mwaka 2019 huko. Miaka 6 iliyopita. Hata mtaani zimejaa used tu. Mleta mada anataka Samsung ambazo ni current, mpya full box katika budget yake
Yani kaka unafananisha note 10 na a35! Hiyo Note 10 imeachwa mbali sana. Samsung a30's na a50's ni matoleo mazuri. Msala ni hizo a0 na a10Hizo a 30 sijui 35 ni za nyuma Sana, tafuta note 10 iko ugwadu kinyama mkuu.
Nawa shangaa wanao bisha, ila mpya ziko duka la Samsung og.Unapata Note 10 kwa laki 4 na nusu ila ni USED
Mpya kupata ni ngumu, Note 10 ishakuwa simu ya zamani