Msaada Mwanangu ananifirisi...

Msaada Mwanangu ananifirisi...

Muwekee video za kumfundisha sana sana ila akizoea udaku utamwaribu boss
 
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Nimemkumbuka dogo mmoja niliachiwa nikae nae.
Sa nikampakulia wali then nikaweka nyama mbili coz ni dogo tu.
Dogo akasema "yaani unaweka nyama mbili !! Mi staki"
Nikamuekea mchuzi kati kati ya saani akakataa kula eti ye amezoea mchuzi usambazwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushauri tu tena ushauri halali.
Mlete mwanao ofisini kwetu the carry on with kubana matumizi kwako.
Hint:hata kama na wife naye ana interrupt bajeti we Mlete ofisini kwetu tutakusaidia.
FOLKS ALWAYS COMPLAINING.

#utakula kiburi yako.
 
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzoeshe kuchezea corodani zako atasahau yutubu

Mkuu mbona simple unaweka anakuwa anaangalia low quality hizo videos huwa haili mb dawa awe anatembelea 144p

☆Let us sacrifice our today so that our children can have a better tomorrow☆
 
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyambafu sana wewe. Mtoto miaka mitatu anakufikirisha kias cha kuja kuandika humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ujinga ukiulea utajuta
Mi wangu soda hagusi wala haombi
 
Back
Top Bottom