St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Ipo siku na mimi ntakuja na mada ya mwanangu kutaka kula chipsi kuku tu.
ww Mpemba inaelekea ulizaliwa katika SHIDA sana na manyanyaso ndio maana unataka raha na huzipatiNdio tabia za akina mama baadhi yao, mimi niko na mtoto wangu sasa hivi miaka minne alikua na tabia kama za mtoto wako.. Mbona kaacha!? Eti lazima apewe smartphone nilikua nikimpa ya toch haitaki. Ikafika kipindi nikamwambia kuanzia sasa hakuna ruhusa ya kugusa sim.. Alitii amri na kuniogopa hadi leo nikiwekewa kitu hata kama anakipenda kiasi gani.. Akiambiwa "cha baba yako" anakiangalia kama hakitaki maana sikumdekeza nilimcharaza bakora sasa hivi kawa mtii kwa baba lakini sio kwa mama.. Anamtii mama yake nikiwepo ila nilimwambia nikiondoka mama yake anapata tabu sana maana wanawadekeza sana.
Eti siku hiyo namkunja mtoto mama yake anaingilia nikakwambia ukithubutu kuja na wewe nakutandika mbona kaacha?
**Mpemba halisi**
Sasa mi nashindwa kuelewa umetaka ushauri lakini kila ushauri unauona mbaya na haufai,mi naona uendelee kumnunulia bando si vinginevyo.Halafu kuna jamaa anataka awekewe mkwara I'll Apache mazoea ya simu,usichokijua ndugu hao ndio wazazi wanaojiita '' single parent'' hao hawalei Bali udekeza.ww Mpemba inaelekea ulizaliwa katika SHIDA sana na manyanyaso ndio maana unataka raha na huzipati
km mtoto hutaki atumie smartphone mnyang'anye na km unampa zima Data
mm watoto wangu wanasoma English Medium wanakutana na Computer tangu Pri STD 1
km Baba nyumbani unatakiwa wewe ndio upendwe sio wakuogope kama mjomba au wewe ni baba wa kambo?
eti ukampa kitochi
lini ataelewa kuingiza LUKU? bill za maji na ving'amuzi
vyote mpaka uwepo
hii ni kumsababishia manung'unko na aishi km Mpemba kila siku kukimbia bara na visiwani pori na baharini
Hivi kufirisi ni lugha gani vile? Au hili neno linatokana na neno Kufira? Lakini ingelikuwa ungelisema ananifirisha. Hebu mkuu tufahamishe kidogo na sisi tufahamu,. Au ni Kiswahili cha dot com?Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta....
Hataki za kudowload anataka kuangalia mwenyewe YouTube tena anachagua anayotaka...
Nadhani unaelewa mchakato wa bando...ukimkataza kilio chake ci mchexo yaniiii...
Naomba ushauri nimfanye nn...
Pesa ngumu siwexi kuweka bajeti ya bando daily kwa ajili yake majukumu mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuuHivi kufirisi ni lugha gani vile? Au hili neno linatokana na neno Kufira? Lakini ingelikuwa ungelisema ananifirisha. Hebu mkuu tufahamishe kidogo na sisi tufahamu,. Au ni Kiswahili cha dot com?
Kama hakuna kosa unalalamika nini? Au unatuarifu kuwa mwanao anajua kutumia You Tube
Uza smartphone bakia na kitochi au tumia computer mkuu
Ukifuata ushauri huu tatizo lako litakuwa limetatuliwa ndani ya week 2Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimefikiri the same. Hawa ndio wazazi wa siku hizi.Unataka tukupe ushauri gani?