Msaada Mwanangu ananifirisi...

Msaada Mwanangu ananifirisi...

Hii ni dhahiri huyu mtoto kwa asilimia nyingi ataharibika, inaonekana unamdekeza kupita maelezo. Yani ukifika home tu simu ya mtoto? Unapoteza mzee kiumbe kwa kudhani unampenda na kumjali sana. Tunza sana maneno yangu Mungu awape heri utakuja nikumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charaza viboko atulie kulia lia , samaki mkunje angali mbichi,
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo si ulitaka chai iweje ulalamike unaungua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo dawa yake,mtoto wa miaka 3 umfundishe kutafuta video you tube na uchafu wote ulioko huko kweli wewe mzazi unajitambuwa, huyo hata shule inabidi uwe unampeleka na kumrudisha nyumbani ili asije kuwa anashinda internet cafe anaangalia ngono!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi mpumbavu....

Mslezi ya kipumbavu....
 
Mtoto wa miaka 3.2 umefungua uzi kuomba ushauri kuhusu mtoto kung'ang'aniana kuangalia video YouTube?duh akifikisha miaka 18,yeye ndiyo atakuwa baba yako kwa huo mfumo wa malezi ulionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom