OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Asanteni wooote,nimeelewa kitu hapa!!!!!
Mrehemiwe duniani na kesho mbele za haki!!!!
Mrehemiwe duniani na kesho mbele za haki!!!!
Hii ya kuwa mzuri kweli lugha ni sawa,kuna mdogo wangu ni mzuri sana kwenye lugha source ilikuwa katunimpe katuni za aina nyingi mfano za Lugha ya Kiingereza Boomerang, CT Catoon mbona zinamafunzo mengi na atakuwa mwepesi wa lugha kuliko Comedian za akina Joti
ba be bi bo buKwani homework ni nini kaka???!!!
km mwanao anaangalia sana KATUNI kuna baadhi ya mambo atapwaya! Inavyosemekana kila katuni inachorwa kwakuanza na Sura ya sehemu ya SIRI aidha ya Me/ke then Lina maliziwa umbo lahuyo katuni Inasemakana Lengo la wazungu nikuvuruga Akili za watt wakiAfrika so Ukifuatilia sana mtt anaependa sana Katuni hata mambo ya IBADA kwake umlazimishe Fuatilia utaelewa..!
Asanteni wooote,nimeelewa kitu hapa!!!!!
Mrehemiwe duniani na kesho mbele za haki!!!!
cartoon inaangaliwa na watoto na inatengenezwa na watu wazima wanao act watoto,cartoon inaleta addiction ya artificial world sio natural,mtoto humfunzi kwa cartoon bali nature,cartoon ni uchi wa mtu kids see that ubongo wao unakuwa unaulisha virtual world,cartoon iko sponsered na mabillionares watoto waone ila hawasaidi nchi masikini,think?tangu lini panya anatumia uma?mwanao anacheka huoni athari for sure,inaleta chuki endapo ukimzuia kuangalia,it makes kids fall in an artificial world which is loss of humanity,stupid fashions, hata hamuelewi hii nchi basi
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
Du miaka 5 unampa Home work
Hata chekechea hawawapi hivyo ngoja afike STD IV au V
mpe katuni za aina nyingi mfano za Lugha ya Kiingereza Boomerang, CT Catoon mbona zinamafunzo mengi na atakuwa mwepesi wa lugha kuliko Comedian za akina Joti
Salama wakuu!
Mimi nina mtoto wa miaka 5 mtoto huyu anapenda sana katuni anaweza kuangalia katuni asubuhi mpaka jioni bila kuchoka
Na ikitokea ukizima Tv ni kilio mtindo mmoja mpaka uwashe
Kuhusu shule anasoma chekechea na huwa nikimpaga home work natumia nguvu za ziada sababu ya katuni
Je kuangalia katuni kwa masaa mengi kunaweza kumwadhiri?
Au katuni zinaweza kumjengea uwezo zaidi?
Naombeni kueleweshwa wanajamvi natarajia majibu mazuri kutoka kwenu
Achana naye huyo dogo ale raha duniani. We kama hukuangalia katuni ukiwa mdogo usimbanie dogo. KAMA UNAMWOGOPA AKILILIA KATUNI KWA NINI UOGOPE MADHARA YA KATUNI KWAKE??.
By the way tangu akiwa mdngo ulikuwa unaondoka unamwacha kalala, unarudi unamkuta kalala-hujui katuni hizo ndo anaona kama mamake??
www.demonbuster.com
hahaha utajitambua ukipenda
Wenzako wanas0ma miaka miaka kutengeneza hizo Animation! We unakuja na hoja nyepesi eti Uchi ule! Yani mnavyodanganya as if hatujui hizo Animation zinavyotenezwa! Halafu we ukitaka kuchora katuni unachora uchi?! Kijana unapotea!