Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)

Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)

mkuu mtafutie vitu vingine vya kuchezea mf.baskeli,game za computer,vinanda,gitaa,marimba nk ajifunze kimoja kimoja baada ya muda atasahau cartoon.ni hayo tu

maisha ni mfumo wa sauti hapo sawa ila computer games no no
 
Unaongelea chekechea zp mkuu? Mbona chekechea nyingi ni lazime hm work watoto wapewe na wana deadline. Labda unazungumzia za miaka ya tisini
Hivi kaka a for apple, b for ball hii inaweza kuwa sio homework!!!!??????

wanaopenda kuangalia catoon ni kuanzia miaka 2.
na chekechea yao (DAY CARE) inapoenda kazini unawakabidhi hao watunzaji km ni Masister au mayaya wanpewa maziwa saa 4 saa 6 chakula saa 7 kulala saa 10 iukitoka kazini unampitia

km unawazungumzia Pre English medium school hapo sawa wao hawaangalii Catoon ila Tathiliya zote na zipo kichwani, hata Kanumba wanamjua alishakufa licha ya Baba wa Taifa hao ndio wape hizo HOMEWORK

heunda tunapishana kwenye Neno Kindergaten, Daycare, Pre-Primary nk
basi mm nitakuwa nje ya Mada
lakini hapa Dodoma Masista wa Roman Catholic wanawatunza watoto wa aina hizo ukiwa kazini
 
cartoons are not good they dont teach they destroy ,kids mind,thinking ability,behaviours,violence,guns,milipuko,impossibles,paka anashika uma,wanyama wanaongea,uhalisia unapotoshwa eg samurai jack,double dragon,mavazi ya cartoons,mapenzi

FREE DELIVERY (DELIVERANCE) END-TIME DELIVERANCE MINISTRY - DEMONBUSTER.COM DELIVERANCE MANUAL
Hiivi huyu anaelewa tunaongelea Cartoons gani lakini?maana naona amekariri moja tu
Sasa wache wanao waangalie Filam za kibongo siku moja ukute wamepandiana juu ndio utajua
 
Mada safi sana hii, imenigusa.

Nilipofika home nimemfungulia uzi huu huyu dogo 9yrs old. He's an addict too ili asome kwa sauti mimi na máma yake tukisikilza, zile sehemu zilizokuwa zinamsuta akawa anazisoma kwa sauti ya chini... lol.

Baadaye nilimuuliza mtoto aliyekuwa addicted ná katuni tumsaidieje? Akajibu; ubongo wake ufutwe halafu aanze upya.

Faida ninayoiona ambayo mtoto.anaweza kuipata kwa kuangalia katuni, pamoja ná zingine; ni kuboresha kiingereza hasa kusikiliza na kuelewa matamshi, hiyo tutake tusitake ni lazima, (mambo ya kuenzi lugha ya taifa subirini kwanza)

Too much is harmfull they said, ni lazima tusimamie ratiba za watoto wetu ili wajue maisha ni kujipanga, wawe na ratiba kuanzia sasa, by the way hawawezi kukwepa ndo maisha.
 
IQ zinazidiana sishangai

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, Uwezo wako wa kutenda ni mdogo, hata kupambanua mambo bado ni shida! Unashindwa hata kuweka link hapo ili tukas0me hicho unachotaka! Kama hujui jinsi ya kuweka link utajuaje carto0n zinavyotengenezwa zaidi ya kuwaza Uchi tu?!! Teh teh teh, Uchi sio dili kijana hebu jaribu kug0ogle hapo "HOW ANIMATION MADE" kidogo ujitambue.
 
cartoon za startime zimekaa kama vimpire, hazifai. nilinunua cartoon ya kirikou baada ya kutizama alienda kwenye banda la mbwa na kuanza kushambulia kwa fimbo akijifanya kirikou, yaani tabu tupu.
 
Katuni huwa zinafunza na kusaidia kwa watoto....lkn kwa siku nzima kaka huo ss ni wajibu wako km mzazi.iweje huna ratiba kwa motto soka,kucheza na wenzake na j'mosi,j2 watoe watoto beach nk sio ww na washikaji bar tu....
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, Uwezo wako wa kutenda ni mdogo, hata kupambanua mambo bado ni shida! Unashindwa hata kuweka link hapo ili tukas0me hicho unachotaka! Kama hujui jinsi ya kuweka link utajuaje carto0n zinavyotengenezwa zaidi ya kuwaza Uchi tu?!! Teh teh teh, Uchi sio dili kijana hebu jaribu kug0ogle hapo "HOW ANIMATION MADE" kidogo ujitambue.

siweki na uwezo wangu mdogo NIMEMALIZA
 
Maisha ni mfumo wa sauti kivipi? And why not computer games? Please.

mkuu soma hapa kwanza

www.demonbuster.com

afu tafuta wanayasayansi wamefikia wapi now kwenye darkenergy,matter,simplest atomic particles (quarts] afu uje
 
Katuni huwa zinafunza na kusaidia kwa watoto....lkn kwa siku nzima kaka huo ss ni wajibu wako km mzazi.iweje huna ratiba kwa motto soka,kucheza na wenzake na j'mosi,j2 watoe watoto beach nk sio ww na washikaji bar tu....

cartoon huwa zinaharibu na hazifunzi watoto ,zinaharibu

www.demonbuster.com
 
U have poorest parental control over your son.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa wazazi wanashindwa kuwapangia watoto nini waangalie kwny tv na kwa wakati gani..

Kama umeshindwa kumbadili kitabia hicho kabiiiisaaaa fanya haya:
Fungia tv chumbani kwako ukitoka,

Chomoa kisimbuzi ukitoka

Rudi kwa wazee wako wakupe fundisho namna ya kumlea mtoto.
 
like like like funga tupa kule wafate watu wanature
 
Mtoto umleavyo ndio akuavyo

Ukimzoesha katuni siku nzima jiandae ataanza kuangalia usiku kucha.

Mwanga wa tv, simu , unaharibu macho yanapungua nguvu ya kuona mbali atavaa miwani hata shule ya msingi hajamaliza.

Kiakili
Ameshakuwa katuni junkie
Anza rehab aache au kupunguza kuangalia tv kwa ujumla.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom