Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)

Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)

KINACHO TUPONZA WAZAZI wa kileo tuna act tunawapenda sana watoto wetu sana
aiwezekani mtu uangalie tv tangu asubuhi,hivi wewe mzazi uwezi zima tv na kupiga marufuku mtu yeyote kuwasha?
usasa unatuharibu uwezi weka tv chumbani kwa mtoto eti ni kwenda na wakati hiyo aiwezekani.
suluhisho panga mda wa mwanao kuangalia tv na kuna aina ya katuni tom and jerry sawa na zile za wanyama wa kawaida
but kumruhusu kuangalia zombi una mpa rho za kishetani mwanao
mwenye masio na asike
 
KINACHO TUPONZA WAZAZI wa kileo tuna act tunawapenda sana watoto wetu sana
aiwezekani mtu uangalie tv tangu asubuhi,hivi wewe mzazi uwezi zima tv na kupiga marufuku mtu yeyote kuwasha?
usasa unatuharibu uwezi weka tv chumbani kwa mtoto eti ni kwenda na wakati hiyo aiwezekani.
suluhisho panga mda wa mwanao kuangalia tv na kuna aina ya katuni tom and jerry sawa na zile za wanyama wa kawaida
but kumruhusu kuangalia zombi una mpa rho za kishetani mwanao
mwenye masio na asike

Mimi nashukuru mungu mtoto wangu ananisikia , na sijawahi kumpiga tangu azaliwe mpaka sasa anakaribia miaka 5 ,nikiongea sauti moja ananisikia ALHAMDULILAH , na sidhani kupiga mtoto ni kumfundisha mi nadhani atakuwa nunda na ndo atazidi..
 
Hili swala la katuni nimegundua ni janga la wengi
Lazima tuchukue hatua kwenye malezi ya hawa watoto
Mimi wangu ndio balaaa akitoka tu shule baba katuni
Dah sasa baada ya kusoma coments za wenzangu nabadilika rasimi
Katuni itakuwa weekand tu nimemaliza mchezo
 
Mkuu, hata hawa wa chekechea nao wana homework zao. Kwa mfano, mwalimu anaweza kugandamizia herufi, halafu akija nyumbani namuelekeza namna ya kugandamizia zile herufi ili kutengeneza herufi halisi au picha. Au wanaweza kupewa homework ya kuandika 1 mpaka 10 au a mpaka u, akija nyumbani unamsaidia kuandika hizo namba. Umeona eeh?
Prof. Michongwe alinifundisha pale Marangu TTC enzi hizo Saikolojia kuwa mtoto uanzia miaka 2 hadi 5 ana michezo zaidi ya 300 kwa kutwa na kila dk anabadili
akiwa na maana ukijaribu kumuiga akaapo, akunjapo miguu, akibunuka akicheka ni lazima utachoka wewe kabla yake.
Ufikapo vituo vya chekechea masomo hayo ni masaa ma2 tu ( saa 3 asubuhi saa 4 mapumziko saa 5 somo lingine la vitendo ukiidisha hawaelewi lazima wapumzike kwa uji na mchana chakula halafu kulala.
sasa tpaul ukimkandamizia hiyo herufi ni lazima atakutoroka kabisa, ndio maana WANAUME wengi tunakimbia kuwalea watoto na kuwaachia H/G au wife

jaribu kumfuata atakacho km bado ni mdogo
Here, the consequence will be directly proportional to the misbehavior of the child. To give an example, if the child throws his personal items like clothes, books or toys out of his cupboard onto the floor in an angry outburst, you first wait for his temper to subside and then make him put everything back into place.
Using Reverse Psychology with Children
 
Last edited by a moderator:
hili ni tatizo kwa wengi,wangu
miaka nane,wk/end anaamka kumi na mbili
anaoga,thn yeye na gem kwa laptop,hata kula
yupo radhi asile,ni shidaaa
 
Loh..tuko wengi kumbe..mimi mpaka nazijua cartoon.maana jamaa wanaangalia sana,mimi wangu nimeanza kumkatiza sasa maana anaenda 6yrs...akitoka shule saa sita anafika saa saba anakula anapumzika..ikifika kama kumi.na mbili na nusu.anasoma kama 1hr halafu anakaa moja kamili chakula na nusu analala..shuleni kwao awapei home work mpaka ijumaa tu.lakini cartoon zimemfundisha mengi sana aswaa chanel 309 ya dstv..
 
Huo mda muafaka sana kuangalia Katuni,ila mwekee ratiba nzuri ya kufuata,shule,kulala mchana,kucheza nje.Mnunulie kibaskeli azunguke uwani,mpira na magari ya kuchezea kama ni wa kiume utaona atakavyo badilika
 
Hivi baraza la mitihan siku hizi wanatunga mitihan ya katuni? Kama ndio basi mwache
 
Mkuu kwanza ilikuwa ni makosa na hayakuwa mapenzi kumuachia mtoto mpaka Carton akawa addict wa Carton na sio wewe tu watu wengi wanafanya kosa hili.....Yuko mkubwa wangu mtoto wake imemkuta hali kama hiyo kiasi kwamba mtoto akienda shule anakuwa km anaumwa na ikitokea shule wamewekewa Carton alikuwa anachangamka kiasi cha mwalimu wake kushangaa..Na mama wa huyu mtoto alipata kazi na alishangaa kuona watoto alikuwa anawalea hawakuwa wakiruhusiwa kutazama Tv mpaka Jumamosi/Jumapili tu...akajifunza wa hili limemsaidia mtoto wake amebadilika hata kimasomo baada ya kumuwekea siku maalum ya kutazama Tv......na mwisho usikubali mtoto afanye anavyo taka bali unavyo taka wewe kilio ni cha kudeka ukimuendekeza atazidi kupotea.
 
Usipate tabu bure nenda kamnunulie cd za kujifunza kiingereza watoto wa chekechea kwani zinahamasisha kufanya homework,pia kids karate zinaongeza kujiamini kwa mtoto na nidhamu,pia muonesheni vipindi vya watoto kwenye tv maana vinahamasisha sana kuhusu shule na atapenda tu maana ni watoto wenzake. Wakwangu alikuwa anapenda sana katuni ya ben10 lakini siku hizi kaiacha anaangalia cd ya watoto abc kuanzia anapotoka chekechea .kwa ufupi iq yake imekua sana na anajua mambo mengi mno sababu ya hizo cd.
 
km mwanao anaangalia sana KATUNI kuna baadhi ya mambo atapwaya! Inavyosemekana kila katuni inachorwa kwakuanza na Sura ya sehemu ya SIRI aidha ya Me/ke then Lina maliziwa umbo lahuyo katuni Inasemakana Lengo la wazungu nikuvuruga Akili za watt wakiAfrika so Ukifuatilia sana mtt anaependa sana Katuni hata mambo ya IBADA kwake umlazimishe Fuatilia utaelewa..!
 
Mimi mwanangu hupendelea kumnunulia katuni ya DORA THE EXPLORER hii inafundisha mambo mengi na huwa inamshirikisha yeye mtoto kujibu maswali na mambo mengi ,katuni kama tom and jerry mi sidhani kama inafundisha....na kuhusu kwamba anangalia katuni sana sio nzuri ...too much is bad

True inawafikirisha watoto hii katuni
 
km mwanao anaangalia sana KATUNI kuna baadhi ya mambo atapwaya! Inavyosemekana kila katuni inachorwa kwakuanza na Sura ya sehemu ya SIRI aidha ya Me/ke then Lina maliziwa umbo lahuyo katuni Inasemakana Lengo la wazungu nikuvuruga Akili za watt wakiAfrika so Ukifuatilia sana mtt anaependa sana Katuni hata mambo ya IBADA kwake umlazimishe Fuatilia utaelewa..!

Kwa kweli wasio na elimu wanawaharibu sana akili ninyi,yule shekhe wa Nairobi ndo amewateka Waislam kwa maneno yake ya kipuuzi na uwongo kama hayo unayotaka kutuaminisha hapa.SOMENI MUACHE KUDANGANYWA KWA UONGO MDOGO HUO.
 
Kwa kweli wasio na elimu wanawaharibu sana akili ninyi,yule shekhe wa Nairobi ndo amewateka Waislam kwa maneno yake ya kipuuzi na uwongo kama hayo unayotaka kutuaminisha hapa.SOMENI MUACHE KUDANGANYWA KWA UONGO MDOGO HUO.

Ukweli ni kwamba katuni zinatumika sana kupumbaza watoto, pia mitandao ya kijamii inawalevya sana vijana hata sisi watu wazima! Kama aliyoyasema huyo sheikh ni uongo basi leta utafiti wako kuwa haziathiri kwa vithibitisho. Naamini zinaathari tena kubwa kwa watoto wetu kwani hatuna taratibu za kuweka ratiba juu vitu hivyo tofauti na watoto wa kizungu
 
Waonyesheni watoto cartoon zenye mafundisho,UBONGOKIDS au TINGATINGS na nyenginezo na wazazi lazima tuwe na mipaka madhubuti kuh watoto wetu nao wanufaike kwa malezi mazuri kama tuliyokulia
 
Kuna mtoto mmoja alikuwa adictecd na cartoons mpaka akawa anaongea kama cartoon.
ilichukua muda sana kumrudisha katika line.
 
km mwanao anaangalia sana katuni kuna baadhi ya mambo atapwaya! inavyosemekana kila katuni inachorwa kwakuanza na sura ya sehemu ya siri aidha ya me/ke then lina maliziwa umbo lahuyo katuni inasemakana lengo la wazungu nikuvuruga akili za watt wakiafrika so ukifuatilia sana mtt anaependa sana katuni hata mambo ya ibada kwake umlazimishe fuatilia utaelewa..!

sijakataa kuwa kuangalia kwa mda mrefu ni kama addict,nilichokataa ni hicho hapo kwenye red kwani watoto wa kizungu hawaangalii katuni....nafikiri mna matatizo ninyi wa side b.

ukweli ni kwamba katuni zinatumika sana kupumbaza watoto, pia mitandao ya kijamii inawalevya sana vijana hata sisi watu wazima! Kama aliyoyasema huyo sheikh ni uongo basi leta utafiti wako kuwa haziathiri kwa vithibitisho. Naamini zinaathari tena kubwa kwa watoto wetu kwani hatuna taratibu za kuweka ratiba juu vitu hivyo tofauti na watoto wa kizungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom