Msaada mwanadada anayemtaka Bishanga bure namkabidhi.

Japo namuonea aibu flani huyo umgawae bure, bt ktk ukweli lazima niuseme!
Kifupi ktk bidhaa mbovu zisizouzika Jeiefu huyo jamaa ni mmojawapo.
Hiyo dili lazima ikukamate tu!
Mf mie hapa nna sista'angu but akirekwistiwa na huo jamaa, mathalani atoe mahari valiyu ya Fuso 10 na aniofe Airline ticket Dar/Athens/Dar natema!
Bingwa hauziki!
 
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
nilijua tu kwamba kuna siku rigwaride litakushinda,sasa wazazi wako utawambia kwa nini umeupwaka? Vumilia tu maiwaif,hogo la jang'ombe ndo msalaba wako.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom