Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Kuna mawili ya kuangalia hapo...kumbuka wanawake huwa hawakurupuki...
1. Mophology ya mdomo wako ipo sawa?Je inaruhusu tendo hilo kufanyika bila kumbughudhi mwenzako..
2. Je mdomo wako hautoi harufu kiasi ikawa ni kikwazo kwa mwenzako.
Ukipata majibu hayo njoo..tena uulize utapata majibu.
Pamoja na kuzidisha dozi ya kupiga mswaki kama ulivyosema, kuna midomo mingine unakuta bado inatoa harufu. Wawezakuta anaona kukwambia mdomo unanuka!
 
Labda
1. Mdomo wako unatoa harufu ambayo mwenyewe hujui
2. Labda dashboard ya mdomo wako imejaa minyasi ya ndevu.... Wengine hawapendagi midevu.
3. Demu ana akili kubwa kuliko wewe, anajitambua kwamba kwa kunyonyana ndimu munaweza kuambukizana ugonjwa hatari wa ini yaani hepatitis b.
mkuu anakubali dushelele then awe na akili kubwa
 
Kuna mawili, moja yawezekana mdomo wako una kaharufu Fulani hakampendezi hvyo anahofu na yeye atairithi. Pili yawezekana structure ya mdomo wako haimsisimui kufanya hiko kitu na wewe. Yawezekana bado anakuonea aibu mpe muda baada ya hapo utamueleza unachopenda. Maana penzi lenu linaonekana bado jipya hvyo mnashindwa kuelezana ukweli bado..
 
It's scientifically proven: being in love makes you a less productive person
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom