Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Mpe pipi arambe kidogo hlfu mwambie akupe urambe na wew itakua tayar ushapata denda lake
 
Nenda nae taratibu ili upate kuujua ukweli, usifikie maamuzi mabaya mapema. Kumbuka kuna watu wengine hawapendi kunyonyana hilo ulijue. Mtu kama hataki usimlazimishe.
yan unamaanisha kuna watu naturally hawapendi hii kitu?
 
Nchi kwa sasa ina chakula cha kutosha ndio maana vijana wake wanawaza ngono!
Sawa,ila nnachojua wewe mdomo wako Ni mpana kama wa Diamond,so ntaomba tu ummyonye sehemu zake zile ndo mdomo wako utajaa
 
mweleze pole pole kwa mahaba,unapokua kwenye mazungumzo mwanana mwambie Darling naweza kukuliza kitu au kukuomba kitu?n atakwambia ndio hapo sasa mwambie mara nyengine tukiwa kwenye yale mambo yetu naomba 123 hato chomoa ila kwa sauti ya mahabaaa raha na unyenyekevu,hata kama hajui atakwambia huenda hajui sasa anahisi unataka kumtafuna ulimi na hakuna replacement,na make sure demand za week hiyo zote una zi meet sio sina sina week hiyo ni yes yes week,na wewe pia uwe fundi ukipewa usifanye vitu vya ajabu ukamtafuna ukanitia AIBU lol...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom