Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Kwani tatizo si mate yake tu? Basi, we mwambie akiwa anatema mate akuhifadhie sehemu we mzee ukifika unakunywa tu.

Problem solved!

Urudi kutupa mrejesho.

Yours truly.
 
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
Labda
1. Mdomo wako unatoa harufu ambayo mwenyewe hujui
2. Labda dashboard ya mdomo wako imejaa minyasi ya ndevu.... Wengine hawapendagi midevu.
3. Demu ana akili kubwa kuliko wewe, anajitambua kwamba kwa kunyonyana ndimu munaweza kuambukizana ugonjwa hatari wa ini yaani hepatitis b.
 
Unanuka domo wewe.

Mkuu kila mtu hua ana hisia zake kwa kile akipendacho
au labda lips zako hazina umbo linalomvutia au labda mdomoni mwako una style ya kua na ute ute mwingi ambao hata ukiongea unaonekana

Make sure unakua na kinywa kisafi kisichokua na ute ute wa mate mazito
au jali lips zako kama zinakauka kauka hovyo Fanya kuzijari zisiwe katika hali ya kukauka safisha huo ulimi vizur

ushauri wangu lips zako zina kauka kauka au ngumu fanya kuzipaka lip shine usiku hasahasa au mafuta mazito ukiwa unalala kesho yake ukiamka futa mafuta hayo afu chukua mswaki wako piga then safisha kinywa ndo uhamie kwenye lips zako unakua kama unazipigisha mswali huku ukiwa unatemea povu la dawa kwenye mswaki ili kuzifanya lips zako kua laini

ushauri tu na ukafurahie hilo tendo sasa ukitaka mengine njoo pm
 
Kuna mambo yananipa shida sana kama kulike post kama hii wakati mwenzako kaomba msaada

Kikweli madem wa hivyo wapo Ila ushauri wangu ni kuwa wakati mnapiga gemu msubili wakati ule anapotaka kupizi mda huo ni mfupi sana lkn huwa hapo ndio tunakosa ufahamu was akili za kawaida na tunatumia akili za ajabu sana mda huo ukimtaime atakupa akija kushituka umemkausha mate yake
nitajaribu kum time kama ulivosuggest mkuu
 
Labda
1. Mdomo wako unatoa harufu ambayo mwenyewe hujui
2. Labda dashboard ya mdomo wako imejaa minyasi ya ndevu.... Wengine hawapendagi midevu.
3. Demu ana akili kubwa kuliko wewe, anajitambua kwamba kwa kunyonyana ndimu munaweza kuambukizana ugonjwa hatari wa ini yaani hepatitis b.
nitawezaje kuifahamu hiyo hidden harufu?
 
Mkuu kila mtu hua ana hisia zake kwa kile akipendacho
au labda lips zako hazina umbo linalomvutia au labda mdomoni mwako una style ya kua na ute ute mwingi ambao hata ukiongea unaonekana

Make sure unakua na kinywa kisafi kisichokua na ute ute wa mate mazito
au jali lips zako kama zinakauka kauka hovyo Fanya kuzijari zisiwe katika hali ya kukauka safisha huo ulimi vizur

ushauri wangu lips zako zina kauka kauka au ngumu fanya kuzipaka lip shine usiku hasahasa au mafuta mazito ukiwa unalala kesho yake ukiamka futa mafuta hayo afu chukua mswaki wako piga then safisha kinywa ndo uhamie kwenye lips zako unakua kama unazipigisha mswali huku ukiwa unatemea povu la dawa kwenye mswaki ili kuzifanya lips zako kua laini

ushauri tu na ukafurahie hilo tendo sasa ukitaka mengine njoo pm

hii husababisha lips zako kumvutia mtu yeyote hata wanaume wenzio watakua wakiziangalia kwa usafi wake pia huzifanya kua na umbo zuri kama unapenda sana denda utakua unazilamba mwenyewe kwa wivu
 
Mkuu kila mtu hua ana hisia zake kwa kile akipendacho
au labda lips zako hazina umbo linalomvutia au labda mdomoni mwako una style ya kua na ute ute mwingi ambao hata ukiongea unaonekana

Make sure unakua na kinywa kisafi kisichokua na ute ute wa mate mazito
au jali lips zako kama zinakauka kauka hovyo Fanya kuzijari zisiwe katika hali ya kukauka safisha huo ulimi vizur

ushauri wangu lips zako zina kauka kauka au ngumu fanya kuzipaka lip shine usiku hasahasa au mafuta mazito ukiwa unalala kesho yake ukiamka futa mafuta hayo afu chukua mswaki wako piga then safisha kinywa ndo uhamie kwenye lips zako unakua kama unazipigisha mswali huku ukiwa unatemea povu la dawa kwenye mswaki ili kuzifanya lips zako kua laini

ushauri tu na ukafurahie hilo tendo sasa ukitaka mengine njoo pm
mkuu nimependa ushauri wako uko deep sana... salute kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom