Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Hvi kama huyo demu wako ananyonyaga dushe la msela wake nawewe unadendeka nae huoni kuwa utakuwa unanyonya dushe la mme mwenzio.....
 
Kuna mawili ya kuangalia hapo...kumbuka wanawake huwa hawakurupuki...
1. Mophology ya mdomo wako ipo sawa?Je inaruhusu tendo hilo kufanyika bila kumbughudhi mwenzako..
2. Je mdomo wako hautoi harufu kiasi ikawa ni kikwazo kwa mwenzako.
Ukipata majibu hayo njoo..tena uulize utapata majibu.
Kabisa yaani
 
Mhhhh em elezea kinagaubaga dental care yako ipoje...unabrush mara ngapi,unatumia mouthwash, do u floss?una appointments na dentist mara ngapi
Cc Nyani Ngabu akupe tution ktk hili,nimeshawahi nufaika na ratiba yake ya usafi wa kinywa.,
 
panua mdomo wake temea mate kwa nguvu kama awamu tatu tofauti, then ikishindikna siku nyingine akija nenda kanunue kitu chochote amabacho unaweza kumlisha kwa mdomo mm huwa napenda kutumia popcorn
kingine usafi wa mdomo ni muhimu mkuu unaonekana ww kupiga mswaki ni ugomvi
 
Ngoja mimi pia nipite kimya maana hata mimi sipendagi kabisa denda labda hayo mate ateme kwenye kikombe niyanywee humo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Acha uwongo ushindwe knyonya ulmi uwez kunywa mte kwnye kkombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom