Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
Nyuzi za ngono haziishi humu ndani...tunaelekea wapi?..pambana kijana kumbuka upo hapa ulimwenguni kwa dhumuni flan..
 
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
unanuka mdomo mkuu itakuwa.
 
Mda mwingine mswaki hauondoi harufu natural ya mtu. Jaribu nunua breath mint.... Utafune kabla hamjaonana. Kama anakinyaa basi msihusishe mate, ziwe lips tu alafu mtaongeza madoido kidogo kidogo
 
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
Mpeleke kituo cha polisi kilicho laribu nawe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom