LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Tena mate yenyewe ndo haya yamethibitishwa kabisa kuwa yana homa ya iniKweli akili ni kama nywele nilikuwa najiuliza hivi kama unapewa maku unalalamika kutopewa mate ni ujinga kabisa huu
Tena mate yenyewe ndo haya yamethibitishwa kabisa kuwa yana homa ya iniKweli akili ni kama nywele nilikuwa najiuliza hivi kama unapewa maku unalalamika kutopewa mate ni ujinga kabisa huu
me ni msafi kama jina la lebo yao sio mtu mmoja mmoja mkuuUlimwona chibu juzi wakati anaondoka unasemea usafi gani wewe
msichana mwenyewe analeta swaga za kifilipino sa me nifanyeje,? nikikaa nae muda mwingi anasimulia muv za kifilipino na kikoreaHahaha...eti kama wafilipino, mkuu VIP ndio matokeo ya zile filamu zao? Sasa mwenzio amegundua unataka mambo ya kwenye filamu, akiruhusu denda tu amepotea
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] lkn watu nyie unaweza kuwa msafi kuliko chibu ila SaWA na jina lao sasa mkuume ni msafi kama jina la lebo yao sio mtu mmoja mmoja mkuu
Mh! Hiyo bondi yenu kwa namna mnavyoishi na matukio mnayofanya mnaweza kukosa mshauri hapa JF, ila kwa sababu mambo yenu yapo kifilipino zaidi inabidi sasa mtafite forum yenye wafilipino na wakorea wawashaurimsichana mwenyewe analeta swaga za kifilipino sa me nifanyeje,? nikikaa nae muda mwingi anasimulia muv za kifilipino na kikorea
mbona wewe hujapita kimyakimya?!!hivi ukipita kimya kimya utapungukiwa nini?
Mh! Hiyo bondi yenu kwa namna mnavyoishi na matukio mnayofanya mnaweza kukosa mshauri hapa JF, ila kwa sababu mambo yenu yapo kifilipino zaidi inabidi sasa mtafute forum yenye wafilipino na wakorea wawashauri
dont judge the book by its cover mkuuHata ukiangalia avatar ya huyu rafiki yangu utajua ni mtu wa namna gan c
kabisa maana ananidhulumu haki yangu kabisaaPeleka POLISI huyo
hapana mkuu ni chungwa sio chenzaumemkuta hajawahi kusex? kiasi kwamba ni mgeni kwenye hizo mambo?
ananitesa mimi jamansio kila mdomo ni wa kupiga denda.... may be mdomo uko kama nani hii.... so hashawishiki kupiga denda
coz it is my thread... upoo?!mbona wewe hujapita kimyakimya?!!