Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

728d1c31173ee7d15b9f22a2747f62be.jpg
ahhaha mkuu umetishaa
 
Mpagawishe kisawasawa yaani mpe ma romance ya maana hadi alegee utashangaa anakupa mwenyewe , sio mpo faragha tu moja kwa moja kwenye denda, Noooo … mpapase kila mahala kwa istadi mzuri nakulamba lamba maeneo sensitive unayoyajua yote hadi alegee alafu peleka domo lako mwenyewe atapokea na usipo shangaa anaweza nyonya ulimi wako hadi ukataka kuchomoka… hivyo uwe muangalifu pia …
asante mkuu nitazingatia huu ushauri wako
 
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
Kuna mambo yananipa shida sana kama kulike post kama hii wakati mwenzako kaomba msaada

Kikweli madem wa hivyo wapo Ila ushauri wangu ni kuwa wakati mnapiga gemu msubili wakati ule anapotaka kupizi mda huo ni mfupi sana lkn huwa hapo ndio tunakosa ufahamu was akili za kawaida na tunatumia akili za ajabu sana mda huo ukimtaime atakupa akija kushituka umemkausha mate yake
 
Kweli magufuli ana haki ya kusema kuwa hakuna njaa,maana kungekua na njaa watu wasingepata nguvu za kuandika ujinga kama huu.
Hujui wewe njaa sio mikoa yote ni baadhi ya mikoa ambayo wale buku saba wanatumia kugeneraz kwa tz nzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom