Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

Yaani wanawake ndio maana mimi nashindwa kuwaelewa mnachowaza. Ulimuita aje muongee then umembeba rafikiyo hadi saa tatu usiku....alafu nawewe bado mdogo sana. Jamaa alikuwa na ratiba kamili hadi kakwea pipa kukufata yaani ujue alikuweka moyoni kwa kiwango kikubwa sana....kwa tukio ulilomfanyia atakuwa kakuweka kwenye bottom sasa imebaki nguvu yako ya kujipandisha hadi ufike kwenye Top. Funga safari mfate hukohuko.......imewahi nikuta mm mtu alijutia kwa ujinga wake hadi kesho sipendi ujinga. Bora ungemuweka wazi kwamba aje utampeleka hotelini huko atalala pekeyake then next day utaenda mkajidili mambo yenu baada ya hapo mtaagana.....Kuweni wawazi nyie viumbe mtaua wenzenu aisee!
 
afie mbele huko wanaume ni vitombi tu utatombwa na wangapi? kama hataki muelewane akuache tu
mimi nishaweka nukta sitombwi tena kama mtu hawezi kuwa na urafiki na mimi wa kawaida asepe tu nitatombwa nikitakla na sio mtu anipangie
We noma!!
 
hawa wanaume hawapo serias ujue sasa mtu siku hyohyo akutombe jamani hapo utafaidi nini? kama alikuwa anataka papuchi angesema mapema ambiwe za kuzifata !huyu mdada namshangaa roho inamuuma nini wakati Mungu kamuonesha tu mapema huyu sio mtu wa future ni kitombi tu kama wengine
Hiyo kitu wanaume wamewekewa si yakukologea mboga,kazi yake ni kutombea
 
Too bad, atakuwa kajisikia vibaya sana
 
Ulishakosea kwenda na rafik yako....
Ila huna haja ya kujipendekeza kwake infact kwamba bado hamjaanza mahusiano yeye kama kaamua kususa muache asuse tuuu siku akichoka atakutafuta mwenyewe..
 
Naomba nikulaumu we dada kwenda na rafiki yako.. ila hilo la kususa sijui mawasiliano yenu yalikuwaje
 
Kafunga safari kuja kukuona wewe, wewe tu! Lakini kwa akili yako nzuri ukaamua kumbeba na rafiki yako ambaye si ajabu hamjui na wala hakutaka kuweko katika maongezi yenu hata kwa sekunde moja achilia mbali masaa matatu. Haya muombe samahani kama unaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo labda anaweza kukusamehe akaamua kukufungia safari nyingine. Na hili liwe fundisho kubwa kwako. Ukiwa na kidate ni MARUFUKU narudia tena ni MARUFUKU kubeba mtu wa tatu awe rafiki yako, shangazi yako, mama yako au yeyote yule. Pole kwa donge lako la mgeni kuamua kususa na kuondoka mapema.

Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi. Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI
 
First suala sex na mahusiano ni kila mtu na mtazamo wake
wapo ambao sex ni sehemu muhimu tu ya kujuana na kuimarisha uhusiano
wapo wengine sex lazima isubiri kwanza wafahamiane vizuri

Ulipaswa kumwambia kabla hata hajasafiri kuja kuwa akija hamta sex
ili ajue na aamue kuja au asije...

La pili ulikosea sana kwenda na rafiki yako ukakaa nae masaa matatu kiasi wewe na mtu wako mkashindwa
kuongea yenu na kuzoeana na kufahamiana na kuelewana

yawezekana jamaa alijikuta tu 'ameboreka' na kila kitu
Heshim yako the boss upo sahihi kabisa mashoga wa nini jamni kila siku tunaambiwa hatusikii mfyuuu
 
Back
Top Bottom